nikikwambia ukweli ya kilichotokea kenya hutaweza vumilia we endelea na roho mbaya yako wewe na kedrick kwamba kiba hawezi kuimba na neyoYaani waTz sijui ni nini. Neyo mwenyewe kwenye Instagram yake kaandika he is in Kenya to record mashup with 5 artists from Kenya, Uganda, Tanzania and Nigeria. Sasa ni nini waTanzania wanapiga vigelegele kama vile Neyo is in Kenya to record a collabo na Ali Kiba peke yake? Tunajiaibisha especially nyie akina Shardcole and pwilo
View attachment 278148
nikikwambia ukweli ya kilichotokea kenya hutaweza vumilia we endelea na roho mbaya yako wewe na kedrick kwamba kiba hawezi kuimba na neyo
part 2
Insta pamekuwa pachungu leo
Kibakuli c anatembeaga n mademu wa mtaani wao kuzaa na msanii wanaona deal
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha
sijakulazimisha ukubali usinilazimishe nikubali uongo wako kila mtu abaki na mawazo yakeWewe nae mbishi kama mshipa. Nani kasema Kiba hawezi kuimba na Neyo? Tunachosema hapa ni kwamba nyie ni waongo mnadanganya kwamba Neyo na Kiba are doing a collabo, which is a lie. You are a liar and stop it. Neyo is going to sing with Kiba, Wangeci, Flavor etc wote kwa pamoja just like he said it in his instagram post.
kasikilize vizuri au kizungu kimekupitia kushoto kasema wasanii nje ya cokestudio atakaofanya nao collabo ndo haoingia bongo 5 kuna iyo story japo wamechelewa kuipaTA neyo kutaka collabo n diamond, p.square na vanessa mdee ya kiba kafabya tu kwasababu ya ela ya coke studio ila ana mpango wa kufanya nae kazi binafsi
acha umbulula wwSo Neyo posted this on his Instagram and akina pwilo na Shardcole plus crew nzima ya team Kiba sijui hawakuelewa kiingereza? The guy is there for Coke Studio acheni ulimbukeni mnatuaibisha mnavyo comment kwenye page ya Neyo mkimdiss Diamond. Neyo met Diamond last month in South Africa for MTV, he even mentioned Diamond in his TV interview as the artist he was looking forward to meet. Ni vitu vya kawaida mno, embu tulieni. Salaam ameenda huko Coke Studio hatujui ameenda kuongea nini na Neyo ukizingatia walishakutana South Africa last month.
Nyie akina pwilo na Shardcole ndio mnamuharibia Kiba fan base yake kwa kupost ujinga na kumtafutia beef na fans wa Diamond. Grow up kids!!
View attachment 278152
Eti Neyo kamfuata Ali Kiba.... endeleeni kuota :dance:
Mnaaibisha na uwezo wenu finyu.
View attachment 278149
Eti Neyo kamfuata Ali Kiba.... endeleeni kuota :dance:
Mnaaibisha na uwezo wenu finyu.
View attachment 278149
ukitaka kuchangia mada anza mwanzo wa thread ndo uchangie hizi comment ni za wakenya na hiyo picha yako kuedit na ukaweka rangi sijui umetoa wapi
upo umepotea kama mia tano mpya
kwa hiyo umenzisha thread ili ulipize ila hiyo habari yako hata mm naweza nikatunga kama hivi "MSANII NGULI WA MAREKANI CHRISBROWN AMETHIBITISHA ATAFANYA COLLABO NA TIMBULO ,MATONYA , RICHMAVOKO NA RUBY" hapo vipi leta source acha blah blah zako wenzako wanalia huko insta we unabisha
kasikilize vizuri au kizungu kimekupitia kushoto kasema wasanii nje ya cokestudio atakaofanya nao collabo ndo hao
hakubaliki wapi??? sasaSasa kasema ivyo ili coke studio wasijickie vibaya wame mletea watu ambao hawakubali
hakubaliki wapi??? sasa