HISTORIA IPO HIVIII....ALIKIBA NDO MSANII WA KWANZA KUIMBA PAMOJA NA WASANII WAWILI WA DUNIA....haitafutika hadi mnakufa...iwe ya koka kola iwe ya peps fursana au azam kola ishu n kwamba kiba ndo wa kwanza kufanya hivyo hapa TANZANIA...anayebisha aje..
Laiti kama Domo angekua na uzazi madhubuti toka alipoanza uzinzi angekua na watoto 7, mademu zake walikua wanatoa sana mimba.Kabla hajawa na huyu mama wa kiganda.
I like Diamond a lot bana, dogo anajua kutumia fursa ipasavyo
Wakati ilipo postiwa kwamba Diamond atatumbuiza jukwaa moja na Neyo mwenye MTV Mama mashabiki wa Diamond walivamia page ya Neyo na kumuomba kolabo na Diamond hadi Neyo mwenyewe alishangaa comments alizokua anazipa kwa kila post zilikua zaidi ya kawaida
Na alipotua tu South Africa mtu wa kwanza kumuulizia waonane naye ilikua ni Diamond, kama kawaida Domo hakifanya kosa na makubaliano ya kolabo yakafanyika palepale
Juzi kaja kwenye coke studio mashabiki wa King Kiba wakaanza kelele na le project ya koce studio eti ndio kolabo, wakaenda mbali na kudai eti walinzi wa Neyo walimtimua Salaam sk na kama sio King kiba angeadhirika........ Masikini hawakujua kinachoendelea, Chibu mtu mbaya sana kwa kuwatesa mashabiki wa Kiba
Nasikia hii kolabo ilitakiwa iwe sapraizi kama nana lakini kwasababu ya makelele ya wanazi wa King kiba ndio imebidi Chibu atupie insta kuwanyoosha
Diamond mzee wa kuchangamkia fursa ametisha
Sasa zile kelele za mashabiki wa King Kiba kwisha khabari yake
Kweli huyu mtoto wa tandale kwa fitna hawezekaniki