Neyo ni msanii mbuzi tu ingekuwa trey songz hapo sawa, alaf kuna tetes kuwa mondy walienda na madawa hotelini.
Neyo kam follow diamond?? Hagagagagaaaa ushabiki mwingine..
Na nimeiweka makusudi maalumu kwa hao watu wenu pwilo na shardcole c waliweka uzi davido kam follow kiba nataka kuckia watasemaje
Kwi kwi kwi. Laiti ungejua. Hii ndio shida ya kutojishughulisha na kukaa kutwa kusifia wanaume. Yaani wewe mtu kumiliki bastola na gari una kabisa haiwezekani. Acha kuishi kwa shemeji yako tafuta kazi fanya. Utaishia tuu kusifia wanaume kwa mpango huo.
Neyo haja mfollow diamond..
Lete ushahidi.. kamfollow kifesi tuu
UKAWA wanakuja. Subiri matusi.
Ya neyo hii...Insta ya neyo iyo hata ukitaka nenda now utakuta
Ya neyo hii...
ndio insta account ya neyo iyo endelea ku scrool down
Haina haja ila ni kawaida sana
NE YO bado yupo Africa.?
Hivi bado kuna watu wanaamini Ali kiba yupo level sawa na diamond?
Natamani kiba afanye collabo na neyo sio ile ya coco studio walioimba kwaya take binafsi itasaidia mziki wa Tanzania
naamini mtakuja kuona aibu na kutafuta pakujifichia pindi wajina Kaiba inatosha
kwa sasa nanyamaza kimya sizungumzi kitu ila siku itapofika mtalia kwa kusaga meno
Neyo asingekuja hapo kwa jirani msingekuwa na uwezo wa kufanya naye collabo nyinyi