MTV waandaa collabo ya Ne-Yo na Diamond Platnumz, this is epic!

Mkuu mambo yana kwenda kwa hatua hata Nigeria haikuwa rahisi..nakuhakikishia tuu kijana atatumia nafasi hii na hatokuangusha na utakuwa shuhuda hivi karibuni!

Yes hatua moja uanzisha nyingine, unajua watu wanadhani hata kufanya collabo na Davido ilikuwa rahisi! Hahaha si rahisi hata kidogo hasa kwa msanii asiyejulikana. Ila wamarekani jamani sina hamu nao, kuna segment moja hivi kwenye BET awards ile presenter anapita mtaani kuuliza maswali kuna watu walikuwa wanaulizwa unamfahamu pharrel Williams anakujibu hamjui wala hajawahi kumsikia mie Ngachoka kabisa.
 

I see wewe ni kiboko kuliko kiboko mwenyewe, yaani mimi ndio nimekuwa Ally Kiba? Kwahiyo wewe una ubia na mafanikio ya Diamond? Too low.
 

Mi nadhani nakuelewa kidogo, ila nadhani si vibaya kuthubutu.
 
I see wewe ni kiboko kuliko kiboko mwenyewe, yaani mimi ndio nimekuwa Ally Kiba? Kwahiyo wewe una ubia na mafanikio ya Diamond? Too low.

Birds of same feathers flock together

Tell me your friend ,i will tell you who you are
 
Baada ya MTV kutangaza Neyo atakuwa jukwaani kwenye utoaji wa tuzo za MTV mashabiki wa Chibu walivamia page ya Neyo na kila mmoja aliomba kolabo na Chibu.

Guess what? Neyo alipotua tu Durban akamtafuta Chibu kwa nguvu zote ma walipoonana kila kitu kitajulikana soon.

Kumbuka P Square tayari wameisha fanya na wakali kadhaa USA, Davido kapiga juzi kati na Meek na Wizkid kapiga na Drake.

Sasa ni zamu ya Diamond kuvuka boda ya Afrika.
 

Check wabongo walivyo ivamia page ya Neyo

Unajua chibu anajua sana kucheza na akili za wapenzi ni followers wake
Na wanamsaidia sana kwa kiasi kikubwa
 
Habari njema wadau...

Upigaji kura tuzo za Nigerian Entertainment Awards umefunguliwa rasmi hii leo..

Diamond anawania kipingele cha best African artist (ambacho ni mahususi kwa wasanii nje ya nigeria) .. Hivo basi tupige kura huku ni rahisi kinoma, unapiga kura mara moja tu!! kipengele chake ni cha kwanza, una click kwenye tick na ikiwa ya kijani inamaana kura imepokelewa (hakikisha kutumia browser)

link hii
⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇

http://neaawards.com/index.php/voting-page/

⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
 
Haya sasa! Ne-yo na Diamond washakutana huko... Na kama tunavyomjua Diamond ni mzee wa Fursa... tutegemee kitu kikubwa kuanzia sasa..

Natamani kila Mwanamuziki hapa Tz awe inspired na mafanikio ya Diamond tupate hata wasanii 20 watakaowakilisha Tz ili tuje tuidominate Africa kimuziki maana inawezekana, kama vile 2face na Psquare walivyotengeneza njia ya Muziki wa Nigeria kuiteka Africa basi hata Sisi tutafika huko na hii ni kama tu tutasupport wanamuziki wanaofanya Vizuri nyumbani.


 
kwakua chibu ni mzee wa fursa,nami natoa ruksa ili liweze kutokea bonge moja la pin..?!
 
Kwakua kafunga milango ya collabo za nigeria bas mlango mpya wa collabo ndo anaubisha hodi taratiiibu!!!!
 
Kweli ukiheshimu kazi yako na kujiamini utafika mbali...diamond ni funzo kwa wengi...
 

Attachments

  • 1437169106341.jpg
    31.6 KB · Views: 2,120
nakumbusha tuu jamen kwamba ne-yo kwasasa hana impact kubwa America..dizain kama kazima iv ko tusitegemee mikikimikiki yenye uzito kwa collabo hii..otherwise tujiandae kuyapokea..?!
 
Ne-Yo anajua. Nimeona video clip moja wako studio na Celine Dione we acha tu, jamaa muziki ni kazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…