Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma gani kutoka kwa dizasta uliielewa sana??Ila mkuu dizasta yule jamaa ni moto mwingne aisee ila basi tu.
Zinahesabiwa Views sio viewers kama userHiii population ni ya duniani tu au na mbinguni na kwingineko?,6.4B....daahhhh!!!!
Sasa sky inayotangaza Ndondo cup ulinganishe na MTV guy come on ebooooooooohMbona Sky Sports walitumia wiki nzima kuonesha game za Ali Kiba ila hatukusema.
Ali Kiba hapendi show off.
Kalale ukueBirthday imebuma
Kalale ukue
Duh! Mkuu angalia utaishi maisha si yako!Nilikuwa nasubiri comment yako tu.
6B haingii akilini..Dunia ina watu 7B..na wenye access ya internet hawafikii 2B..go figure
Kama huna kitu cha maana cha kum QUOTE ni bora kuacha tu.Duh! Mkuu angalia utaishi maisha si yako!
Mbona Sky Sports walitumia wiki nzima kuonesha game za Ali Kiba ila hatukusema.
Ali Kiba hapendi show off.
Damian Marley pia (kama sijasahau jina la msanii).Mtu anakuambia kiswahili ni lugha ambayo haivutii kutangaza kazi zako ki international, halafu tunamuona hadi beyonce kaweka maneno ya kiswahili katika nyimbo yake.
Pia american got talent kuna wazungu waliimba nyimbo ya dini kwa kiswahili hadi mimi nisiyeamini mambo ya dini niliikubali ile nyimbo kama hiyo haitoshi kuna malengends kama michael jackson wanaojulikana kidunia na wenye record kubwa kuzidi pimbi yeyote unayemjua ana ngoma yake ya Liberian girl aliyoweka vionjo vya kiswahili ndani yake halafu leo anakuja mpogoro anasema kiswahili sio lugha makini katika international
Juzi hapo joyner lucas katoa wimbo na tory lanez katika verse zake kapachika maneno ya kiswahili "hakuna matata" na hili neno limekua trend sana huko ughaibuni kuliko hata sisi wenye lugha yetu
Mkuu mimi ndio maana nimebakiza nyimbo za zamani tuNyegezi, kwangwaru, kanyaga, ichomekee kwa ndani, paka mate ni teleze and others mumble verses ni zaidi ya mavi
Kiukweli ukweli ndio huo japo watu hawapendi kuusikiaMkuu mimi ndio maana nimebakiza nyimbo za zamani tu
Halafu anakuja mjinga mmoja anakuambia lugha ngumu haieleweki at the same time anakuambia sikiza ngoma za kikoreaDamian Marley pia (kama sijasahau jina la msanii).
Kuna wimbo amechomekea maneno kadhaa ya kiswahili.
Kama diamond angeimba muziki wake Kama zamani sizani Kama angekuwa msanii mkubwa Africa zaidi angeishia kuwa mkubwa hapa hapa bongo.Kiukweli ukweli ndio huo japo watu hawapendi kuusikia
Diamond kipindi anaforce kutoka alikua anaimba fact sana, mfano ile ngoma ya nitarejea ina madini ambayo yaliendana na jina lake.
Ila alivyotoka tu amekua akitumia jina lake no matter ataimba nini anajua watu watapenda tu
Kipaji hakijifichi, kama alifanya hivyo kwa hisani ya promo au kusikika hewani tutasemaje kua nikipaji? Kama hakuweza kutoka katika ule mfumo ambao nyimbo zake zilikua zina ujumbe wa maana utasemaje anakipaji?Kama diamond angeimba muziki wake Kama zamani sizani Kama angekuwa msanii mkubwa Africa zaidi angeishia kuwa mkubwa hapa hapa bongo.
Kwanza kabisa sijakuelewa jibu lako ila nitajitahidi nikazie point yangu ngojea nikupe story fupi kwanini diamond alibadilishe kidogo aina ya mziki wakati diamond akiiteka east Africa na ngoma Kali Kama mbagala,binadan,nalia na mengi,mawazo,kesho,nataka kulewa akaamini ni msanii mkubwa Africa so akaamua aende south Africa kufanya show wakati anatua south hakuna hata mtu aliyeonesha kumshobokea lakini pia show yake alipata watu 20 tu na wengi wao walikuwa wabongo hapa ndio ilimfanya diamond aone mziki alikuwa anafanya wa ujumbe ukitoa east Africa kwengine hawamuelewi kutokana na hivyo ikamlazima abadilike kwa kipindi Fulani awe baadhi ya nyimbo aimbe kwa ajili ya soko la ndani na nyingine kwaajili ya soko la kimataifa kutokana na masoko haya mawili kuwa na uhitaji watofauti.Tokea hapo diamond akawa kwenye level ya juu.Kipaji hakijifichi, kama alifanya hivyo kwa hisani ya promo au kusikika hewani tutasemaje kua nikipaji? Kama hakuweza kutoka katika ule mfumo ambao nyimbo zake zilikua zina ujumbe wa maana utasemaje anakipaji?