MTVBASE east kimetumia lisaa 1 kupiga ngoma za diamond

Si ni zarina ndie kamtema mondi?au ana hasira mondi kukubali kutemwa na ku move on?
Yeye alitaka mondi amuoa zari bahati mbaya mambo yakawa tofauti ndomaana Kila demu ataekuwa na diamond lazima amchukie ikiwemo tanasha.
 
Kamtosa domo. Comments zako nyingi zinajieleza
Yaani nikasirike kisa eti zari kamtosa mondi? Hii tabia wanao wakina dada ila sio kwa wanaume labda kwa wanaume ambao wanatabia za kike Kama nihivyo unavyosema mbona simchukii joketi,wema au hamisa.kitu ambacho wewe unashindwa kujua ni kwamba Kama zari amefanya Jambo baya siwezi kusifia sio kwamba namchukia la hasha na Kama amefanya Jambo zuri nitamsifia ili ukigundua haitakupa shida kunielewa.
 
Unabisha nini wakati nyuzi za kumhusu Zari hukosekani na matusi yako ya kizamani. Birthday ilibuma

Nioneshee hizo uzi alafu angalia nilicho comment ni uongo au ukweli alafu usinisingizie eti nimemtukana zari tokea niingie jamiiforum sijawahi kumtukana mtu yoyote kwanza kabisa normally,Sina kawaida yakutukana matusi si jamiiforum Wala sehemu yoyote.
 
Panic button kazini.

Hizo Dislike apo kuna wasanii Bongo Viewers zao hazigongi apo ata kwa boost
 
Back
Top Bottom