Mtwara: Ajichoma moto Baada ya Kumfumania mke wake

Mtwara: Ajichoma moto Baada ya Kumfumania mke wake

Hivi atakapoulizwa huko alipoenda kaenda kufanya nn atakuwa na jibu kweli? Kuna ugomvi mwingine na malaika ni wa kujitakia tu.
 
Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake.

Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema chanzo cha Baba yake kufanya hivyo ni baada ya marehemu kumfumania mke wake takribani wiki moja iliyopita ambapo baada ya tukio hilo marehemu hakuwa sawa hali iliyopelekea kujiua.

Kabla ya umauti wake mganga mkuu wa halmashauri ya mji Newala daktari Joseph Fwoma amethibitisha kumpokea Chikwisu na wakati anapatiwa matibabu alifariki dunia, Dkt Joseph amesema marehemu aliungua kwa kiasi kikubwa kuanzia kichwani mpaka maeneo ya tumboni
Hawa ndio maana Necta hawajatoa Last ten!
 
Mimi nikimfumania mkewangu Namuambia What's the hell you fu#@*n doing.

Alafu namwambia akakae kwao kwanza hata miemzi mitatu ili issue ipoepoe kidogo angalau majirani wasahau kidogo.
Maana najua maamuzi mengine magumu tunafanyaga sababu ya aibu kwamba watu watanionaje nasio kwaajili yetu.

R.I.P Mmakonde.
Naomba namba ya mkeo nimfikishie huu ujumbe wako
 
Jamani usimcheke mtu aliyependa huwezi jua nyuma ya pazia/ nyuma ya tukio hilo kuna nini? Kuna kupenda kwingine Sio kwa ufahamu wako wamakonde najua mmenielewa,,
Ukimuona mtu kajiua kwasababu ya mapenzi mpe pole tu,,,
Inaweza kuwa ni upendo tu alimwamini kupita kiasi,, au akifikiria zile Judo ambazo huwa anapewa kwenye 6x6,, au hapo kabla hajamuoa, picha yake ilishapelekwa Kijijini kwa Babu Sana tu kukoleza mapenzi, Sasa ukute ushatengenezwa alafu ufumanie,,,
Kwahiyo tusipende kuhukumu mambo kwa kuyaangalia juu juu tu. Hata yeye alikuwa ana akili kama zako.
 
Kutokana na ripoti ya NBS ya mwaka Jana 2020 Tanzania ilikuwa na Jumla ya Wanawake 38,764,857 wakati wanaume walikuwa ni 19,849,652

Kwa takwimu hizo unaona Mwanaume Mmoja anatakiwa kuoa wake almost 2 hadi 3.

Kwanini ujitoe roho kisa Mwanamke wakati kuna wengine wamebaki zaidi 3 wanamsubiri??

Tangulia Mhenga, umemwacha Mke mrembo ili watu waendelee kujisevia
 
Yaani jamaa alikuwa akikumbuka ule uroda ulivyokuwa anapewa na ze-wife - afu kuna mwingine tena anapewa ivo ivo ama zaidi yake, na kibaya zaidi huenda anamjua, na jamaa anatamba vilevile - aaahh akashindwa kuvumilia kabisa aisee - mbwai na iwe mbwai - Lete petrol, lete kiberiti

Uamuzi usio sahihi !! maana sasa kawaachia uwanja wote wa kupiga mechi bila wasi
 
Watu wa Mtwara hua hawana wivu, wivu ni ugonjwa wa Mara, Mwanza, Geita, Simiyu, Iringa na makao makuu Tanga.
 
Kutokana na ripoti ya NBS ya mwaka Jana 2020 Tanzania ilikuwa na Jumla ya Wanawake 38,764,857 wakati wanaume walikuwa ni 19,849,652

Kwa takwimu hizo unaona Mwanaume Mmoja anatakiwa kuoa wake almost 2 hadi 3.

Kwanini ujitoe roho kisa Mwanamke wakati kuna wengine wamebaki zaidi 3 wanamsubiri??

Tangulia Mhenga, umemwacha Mke mrembo ili watu waendelee kujisevia
Do you believe in the NBS?
Wanakuambia mfumuko wa Bei Ni asilimia 5 wakati wewe mwenyewe kwa macho yako unaona Bei ya mafuta ya kupikia imeota mbawa, siment mpaka polisi ikaingilia Kati. Sukari
 
Kutokana na ripoti ya NBS ya mwaka Jana 2020 Tanzania ilikuwa na Jumla ya Wanawake 38,764,857 wakati wanaume walikuwa ni 19,849,652

Kwa takwimu hizo unaona Mwanaume Mmoja anatakiwa kuoa wake almost 2 hadi 3.
Kwenye hiyo idadi ya wanawake kuna ndugu zako pia ujue mkuu?
 
Waswahili husema mkeo sio ndugu yako.

Kabisa hawa ukiishi nao ishi kwa machale

Ova
 
Back
Top Bottom