Mtwara: Ajichoma moto Baada ya Kumfumania mke wake

Kaamua kuibeba dunia, yaani niache kumuua niliyemfumania, nijiue mwenyewe.
 
Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake.

Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema chanzo cha Baba yake kufanya hivyo ni baada ya marehemu kumfumania mke wake takribani wiki moja iliyopita ambapo baada ya tukio hilo marehemu hakuwa sawa hali iliyopelekea kujiua.

Kabla ya umauti wake mganga mkuu wa halmashauri ya mji Newala daktari Joseph Fwoma amethibitisha kumpokea Chikwisu na wakati anapatiwa matibabu alifariki dunia, Dkt Joseph amesema marehemu aliungua kwa kiasi kikubwa kuanzia kichwani mpaka maeneo ya tumboni
Tulishawaambia WASIOE ila HAWASIKIII!

Basi ngoja yawakute viumbe wabishi.

Msioe mtakufa SHAURI YENU..

#Mitano Tena

#YNWA
 
Mimi wala siugui!
Namcheki dame wangu, mradi mali zipo pale pale, na mngoni hakuondoka nazo, namwambiwa waifu, hebu twende tuka try kama mngoni ameondoka na butamu wote au la!!
Nawewe hebuweka kiswahili chako vizuri, sema MGONI, sio MNGONI.

Mngoni ni kabila la mtu be carefully.
 
Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake.

Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema chanzo cha Baba yake kufanya hivyo ni baada ya marehemu kumfumania mke wake takribani wiki moja iliyopita ambapo baada ya tukio hilo marehemu hakuwa sawa hali iliyopelekea kujiua.

Kabla ya umauti wake mganga mkuu wa halmashauri ya mji Newala daktari Joseph Fwoma amethibitisha kumpokea Chikwisu na wakati anapatiwa matibabu alifariki dunia, Dkt Joseph amesema marehemu aliungua kwa kiasi kikubwa kuanzia kichwani mpaka maeneo ya tumboni
Ohhh maskini too bad
 
Tatizo Waafrika wengi bado wanaamini mwanamke ni mali yake, mwanamke ni sawa na watoto wake, mwanamke hatakiwi kuchepuka kama mwanaume na mambo mengine ya hovyo kama hayo.
Upumbavu ulioshindikana

Haya kafa kamuachia jamaa mke aendelee.

Waafrika sisi akili bado sana.

Unamchukulia mwenza wa ndoa kama kiungo cha mwili wako, wakati mmekutana kila mtu na akili zake.

I dare not to harm anyone based on their own informed decisionkama amekushinda chukua mwingine mzee life is short.
 
Mkuu,Hii comment yako iko very objective.Ila Katika Human Psychology rules zinabadilika kabisa.Kwa Taarifa yako hata wewe unaweza kujikuta umesahau kwamba hii comment ni yako.Ukajikuta unafanya maamuzi kama ya huyo bwana.
 
Huyu aende mbinguni moja kwa moja, maana mjinga mwingine angeua mke au mgoni wake. Kama kutoa talaka huwezi, bora kujiondoa tu watu waendelee na maisha yao.
 
Back
Top Bottom