Jamani usimcheke mtu aliyependa huwezi jua nyuma ya pazia/ nyuma ya tukio hilo kuna nini? Kuna kupenda kwingine Sio kwa ufahamu wako wamakonde najua mmenielewa,,
Ukimuona mtu kajiua kwasababu ya mapenzi mpe pole tu,,,
Inaweza kuwa ni upendo tu alimwamini kupita kiasi,, au akifikiria zile Judo ambazo huwa anapewa kwenye 6x6,, au hapo kabla hajamuoa, picha yake ilishapelekwa Kijijini kwa Babu Sana tu kukoleza mapenzi, Sasa ukute ushatengenezwa alafu ufumanie,,,
Kwahiyo tusipende kuhukumu mambo kwa kuyaangalia juu juu tu. Hata yeye alikuwa ana akili kama zako.