Ndiyo hivyo Mkuu, but ndiyo wamepewa mamlaka ya takwimu zote TanzaniaDo you believe in the NBS?
Wanakuambia mfumuko wa Bei Ni asilimia 5 wakati wewe mwenyewe kwa macho yako unaona Bei ya mafuta ya kupikia imeota mbawa, siment mpaka polisi ikaingilia Kati. Sukari
Kuna ambao sio ndugu zako lakini ni wazee na watotoChukulia ndugu zake wa kike hapo wako 15,000 manake ana option za kuoa 37 million
R I p
Chadema haitakusaidia tatizo lako la akiliHuyo jamaa ni Chadema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo siyo mmakonde halisi.
Mmakonde angemwambia mngoni wake-
Chichicheme wala chichimumunye....!
Uchilamba nchale....uchitema nchale.....!
Ukimuona mtu kajiua kwasababu ya mapenzi mpe pole tu,,,
Jamaa kapewa mambo adimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jinga laoMtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake.
Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema chanzo cha Baba yake kufanya hivyo ni baada ya marehemu kumfumania mke wake takribani wiki moja iliyopita ambapo baada ya tukio hilo marehemu hakuwa sawa hali iliyopelekea kujiua.
Kabla ya umauti wake mganga mkuu wa halmashauri ya mji Newala daktari Joseph Fwoma amethibitisha kumpokea Chikwisu na wakati anapatiwa matibabu alifariki dunia, Dkt Joseph amesema marehemu aliungua kwa kiasi kikubwa kuanzia kichwani mpaka maeneo ya tumboni
Chadema huwa hawajiui,huwa wanauliwa,ref= MawazoHuyo jamaa ni Chadema.
Sishangai kwanini wengine wanashindwa kuyamudu maumivu yanayohisiana na changamoto za kimapenzi.Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake.
Awali akizungumza na Newala FM Leo, mtoto wa marehemu Msafiri Hashimu amesema chanzo cha Baba yake kufanya hivyo ni baada ya marehemu kumfumania mke wake takribani wiki moja iliyopita ambapo baada ya tukio hilo marehemu hakuwa sawa hali iliyopelekea kujiua.
Kabla ya umauti wake mganga mkuu wa halmashauri ya mji Newala daktari Joseph Fwoma amethibitisha kumpokea Chikwisu na wakati anapatiwa matibabu alifariki dunia, Dkt Joseph amesema marehemu aliungua kwa kiasi kikubwa kuanzia kichwani mpaka maeneo ya tumboni
Nakubaliana nawe mkuuJamani usimcheke mtu aliyependa huwezi jua nyuma ya pazia/ nyuma ya tukio hilo kuna nini? Kuna kupenda kwingine Sio kwa ufahamu wako wamakonde najua mmenielewa,,
Ukimuona mtu kajiua kwasababu ya mapenzi mpe pole tu,,,
Inaweza kuwa ni upendo tu alimwamini kupita kiasi,, au akifikiria zile Judo ambazo huwa anapewa kwenye 6x6,, au hapo kabla hajamuoa, picha yake ilishapelekwa Kijijini kwa Babu Sana tu kukoleza mapenzi, Sasa ukute ushatengenezwa alafu ufumanie,,,
Kwahiyo tusipende kuhukumu mambo kwa kuyaangalia juu juu tu. Hata yeye alikuwa ana akili kama zako.
Hizi ishu sio za kukurupuka na kuandika ugoro.Hahaha hili jamaaa litakuwa fala sana papuchii zote hizi zilizojaa unajilipua
Atakuwa mlokole tu
Unategemea kukua lini ili tukuandalie ngoma na matarumbeta ya kushabikia kukua kwako? Punguza utoto kwenye issue serious! Na hao cdm haiyumkini unawakubali Sana moyoni Ila kwa nmaa uliyonayo unawananga mchana ili ushibe!Huyo jamaa ni Chadema.
Alitakiwa awaishwe haraka kwa mtaalamu wa magonjwa ya akili.Severe depression