Mtwara: Ajichoma moto Baada ya Kumfumania mke wake

Kaamua kuibeba dunia, yaani niache kumuua niliyemfumania, nijiue mwenyewe.
 
Kaamua kuibeba dunia, yaani niache kumuua niliyemfumania, nijiue mwenyewe.
 
Tulishawaambia WASIOE ila HAWASIKIII!

Basi ngoja yawakute viumbe wabishi.

Msioe mtakufa SHAURI YENU..

#Mitano Tena

#YNWA
 
Mimi wala siugui!
Namcheki dame wangu, mradi mali zipo pale pale, na mngoni hakuondoka nazo, namwambiwa waifu, hebu twende tuka try kama mngoni ameondoka na butamu wote au la!!
Nawewe hebuweka kiswahili chako vizuri, sema MGONI, sio MNGONI.

Mngoni ni kabila la mtu be carefully.
 
Ohhh maskini too bad
 
Tatizo Waafrika wengi bado wanaamini mwanamke ni mali yake, mwanamke ni sawa na watoto wake, mwanamke hatakiwi kuchepuka kama mwanaume na mambo mengine ya hovyo kama hayo.
 
Mkuu,Hii comment yako iko very objective.Ila Katika Human Psychology rules zinabadilika kabisa.Kwa Taarifa yako hata wewe unaweza kujikuta umesahau kwamba hii comment ni yako.Ukajikuta unafanya maamuzi kama ya huyo bwana.
 
Huyu aende mbinguni moja kwa moja, maana mjinga mwingine angeua mke au mgoni wake. Kama kutoa talaka huwezi, bora kujiondoa tu watu waendelee na maisha yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…