Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Shocking askari zaidi ya saba kufanya uhalifu bila other chain of command kujua, vyombo vingine kuto detect na kuzuia tena yakitokea na kuanzia kwenye kuta za chombo muhimu kiusalama! Upo umuhimu CID itolewe Polisi iunde kitu kama FBI itaongeza kidogo check and balance.
Halafu Kuna mtu anatafuta uchifuPolisi wetu walishageuka wanyama siku nyingi. Mikono yao imejaa damu,laana tu zitawatafuna mpaka basi mana hakuna namna.
Bora wamenaswa.Hivi Siro ana kautawala kake huko polisi au? Rais mfute Kazi huyu RPC.Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
=====
KASHFA MPYA POLISI, WADAIWA KUUA NA KUCHUKUA MILIONI 70
Maofisa 7 wa jeshi la polisi wanashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumpora Tsh Milioni sabini mfanya biashara ya madini na kisha kudaiwa kumuua kwa kumchoma sindano ya sumu na mwili wake kuutupa baharini.
Waandishi wa habari walitaka kupata Maelezo ya kilichosababisha mfanyabiashara wa madini afariki akiwa mikononi mwa polisi lakini IGP Sirro akasema yeye yuko kwenye ziara ya Waziri hivyo ni vema waandishi hao wakamuuliza Waziri.
Source: ITV habari
Sirro anakwepaje maswali? Waziri hahusiki na hilo tukio lipo mikononi mwa IGP , Police wanapewa kiburi na utawala pumbavu kabisa wa CCM [emoji48][emoji49][emoji48][emoji49]Waandishi wa habari walitaka kupata Maelezo ya kilichosababisha mfanyabiashara wa madini afariki akiwa mikononi mwa polisi lakini IGP Sirro akasema yeye yuko kwenye ziara ya Waziri hivyo ni vema waandishi hao wakamuuliza Waziri.
Source: ITV habari
Kuna lijamaa hapa niliuvcccm sasa kila siku likija linataka nilipe hela ya msosiBinafsi Polisi na UVCCM/CCM ni maadui kwangu