Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Shocking askari zaidi ya saba kufanya uhalifu bila other chain of command kujua, vyombo vingine kuto detect na kuzuia tena yakitokea na kuanzia kwenye kuta za chombo muhimu kiusalama! Upo umuhimu CID itolewe Polisi iunde kitu kama FBI itaongeza kidogo check and balance.
 
Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.

=====

KASHFA MPYA POLISI, WADAIWA KUUA NA KUCHUKUA MILIONI 70

Maofisa 7 wa jeshi la polisi wanashikiliwa na jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumpora Tsh Milioni sabini mfanya biashara ya madini na kisha kudaiwa kumuua kwa kumchoma sindano ya sumu na mwili wake kuutupa baharini.

Bora wamenaswa.Hivi Siro ana kautawala kake huko polisi au? Rais mfute Kazi huyu RPC.
 
Waandishi wa habari walitaka kupata Maelezo ya kilichosababisha mfanyabiashara wa madini afariki akiwa mikononi mwa polisi lakini IGP Sirro akasema yeye yuko kwenye ziara ya Waziri hivyo ni vema waandishi hao wakamuuliza Waziri.

Source: ITV habari
 

Attachments

  • twitter_20220120_101600.mp4
    77.2 KB
images - 2022-01-25T212722.425.jpeg

We pray in the name of Jesus christ..
 
Mama Samiah yuko busy kubeba vibuyu na mikuki bila kusahau kutafuta ulinzi wa kiganga, ili hali watu aliowapa dhamana ya kulinda raia na mali zao ndio wa kwanza kuwashambulia na kuwaua raia

Sisi kama taifa tumepoteza dira chini ya uongozi wa huyu mama
 
Waandishi wa habari walitaka kupata Maelezo ya kilichosababisha mfanyabiashara wa madini afariki akiwa mikononi mwa polisi lakini IGP Sirro akasema yeye yuko kwenye ziara ya Waziri hivyo ni vema waandishi hao wakamuuliza Waziri.

Source: ITV habari
Sirro anakwepaje maswali? Waziri hahusiki na hilo tukio lipo mikononi mwa IGP , Police wanapewa kiburi na utawala pumbavu kabisa wa CCM [emoji48][emoji49][emoji48][emoji49]
 
Binafsi Polisi na UVCCM/CCM ni maadui kwangu
Kuna lijamaa hapa niliuvcccm sasa kila siku likija linataka nilipe hela ya msosi
Imagine jitu lina miaka krbia 35+ halafu halina pesa ya kula,kutwa kujipendekeza pendekeza kwangu
Nataka nilichane lisinizoee kbs dadeq zake na chama chake cha hovyo kilicho mtia umaskini
 
Back
Top Bottom