Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Heshima ya jeshi la polisi inategemea IGP anayeliongoza kwa wakati husika.
Kipindi Cha Mahita ilikua Bora ukutana na shetani kuliko ukutane na polisi.
Kipindi Cha Said Mwema jeshi hili lilianza kua jeshi la kiraia na watu wengi walilipenda jeshi letu.
Kwa Sasa hivi hata hao polisi wenyewe kwa wenyewe hawapendani na wanaogopana. Ukikutana nao usiku pita mbali, Kama Ni trafik ndio kabisaa especially trafik wa mkoa wa pwani.
RTO Pwani, pull up your socks.
 
Wayanyonge. Kabla ya kuyanyonga wayapeleke jela wakakutane na waliowabambikia kesi wakawalawiti kwanza kufidia uchungu waliowasababishia.
Polisi hata kama ni ndugu yako chunga sana asikujuejue. Ni mijahilia hii mijaa laana.
 
Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni Igp akichukua hatua.View attachment 2094681
Kama haya yalitokea enzi za Mzee wa msoga,wafanyabiashara wanne waliuliwa na polisi,harafu wakasingizia walikuwa majambazi,thank God walioshiriki walihukumiwa kunyongwa.
 
Polisi mmoja kati ya waliokamatwa kajinyonga mahabusu
Notorious thug huyo hakujinyonga Bali he was suicided.
Alinyongwa yakatengenezwa mazingira ionekane amejinyonga maana huenda alianza ku panic kwa sababu ya damu iliyokua imemwagika.
Kama mtakumbuka kwenye kesi ya polisi kuua watu wa madini miaka Ile, Kuna Askari mmoja alikufa wakati kesi inaendelea ili kibosile mmoja asifungwe. Hata mjinga mpuuzi anajua kile kifo kilikua staged baada ya kuona dogo ameanza ku spill beans.
 
Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni Igp akichukua hatua.View attachment 2094681
Policcm hao. Ukimzoesha mbwa kukufuata Kuna siku utaingia nae msikitini......mliwazoesha kuuwa na kutesa Wapinzani na kuwapora Mali zao, mkashangilia. Endeleeni kushangilia sasa, na wataendelea sana kufanya unyama
 
Jeshi la polisi linajitahidi kufanya kazi kwa ueledi...ila linachafuliwa na askari wachache tu.
image_search_1643081104576.jpg
 
Hii imenifanya nifikiri zaidi na nikajikuta napata maswali:-
1. Huko mahabusu alikua pekeyake..??
2. Wakati anataka kujinyonga kwanini mahabusu wengine hawakutoa taarifa..??

What if wamemnyonga ili kupoteza ushahidi??
Good question
 
Back
Top Bottom