Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Nani aliyemuona Hamza mbwa?
labda machizi Kama wewe.
Ila kwangu Hamza NI shujaa
Aliyepinga kuonewa
Sasa utokee kichaa kama wewe walioua wengine, unakwenda kulipa kisasi kwa wengine!!!kwanini wasipasue bichwa lako na kupewa cheo cha juu kabisa cha mujahidin???

Hata kama ulikuwa na maumivu ya msingi kwa kudhurumiwa na polisi utaonekana mbwa tu mbele ya jamii.
 
Mmoja wa Polisi hao nasikia amejinyonga ameona isiwe tabu ngoja ajiwahishe mapema
 
mtu mwovu hupanda magugu katika ngano safi.

Watanzania tuache chuki kisa watu wachache wanaochafua jeshi la polisi maana hata huku mitaani kwetu kunawezi ambao ni watoto wa baba flani na mama flani ambao watoto wao wametuachia ulemavu pia wameua ndugu zetu na kupora mali zao.

Ubaya wa mtu mmoja usichafue taswira ya mtaa ama ya taasisi flani, tujiepushe na chuki zisizo na tija.
 
Haya yote yanayotokea ni mungu anataka kutupeleka kwenye mchakato wa kupata katiba mpya ambayo itaweka uwazi, wajibu na uwajibikaji wa polisi kwenye sheria iliyo wazi. Ni lazima kuwe na Independent Police oversight body. Yaani police lazima wawe na mwangalizi aliye independent kabisa wakifanya makosa nao wachukuliwe hatua.

Jeshi letu liwe la kuhudumia na sio la kiimla zaidi yaani Police service and not police force aliyoiasisi mkoloni. Yaani police kuwe na transparency hata ukienda front office kuwe na surveillance kamera mpaka maofisini ili likitokea tatizo watu wanafuatilia.

Hili litaondoa hata ile alikamatwa lakini hajulikani alipo. Jeshi liende kisayansi zaidi na sio kimaguvu bila science. Wenzetu police anavaa body camera ili anapotenda kazi inaonekana amaetenda kwa mujibu wa PGO. Hii itaondoa kabisa hibi vi clip mh. SSH anasema kila siku viclip .
 
Yaani hata kutapeli tu hawataki? Wanataka hadi waue?

Juzi kuna uzi wa mwalimu aliyepokea kipigo kwa madai ni informer ulitrend hapa.

Mi naona yale mambo ya 'Uwe umepata divishen 4' yanareflect katika matukio kama haya.
 
“Huyo mkaguzi alimfuata bosi wake na kumweleza hayo kwamba huyo jamaa (marehemu) ana pesa nyingi inaonekana ameuza madini.

Walitengeneza mazingira kwa kushirikiana na watuhumiwa wengine na kumkamata,” kilidai chanzo kimoja
Yaani haya maelezo yanatosha kubadilisha sifa ya watuhumiwa kuwa nyingine kabisa.
 
Serikali dhalimu ya ccm ndio iko responsible kwa haya yote..ccm inafaidika sana na jeshi hili ovu la polisii na haitafanya juhudi zozote kulibadilisha..kwenye uchaguzi jeshi hili linatumiwa na ccm kuiba kura,kuwatishia mawakala wa upinzani,kuzuia maandamano.kuwabambikia kesi wapinzani.jeshi cheap sana..maslahi yao duni.elimu ndogo..
 
Uporaji huo
Huu ni ujambazi kama ujambazi
Mwingine

Ova
 
Jeshi la polisi la Tanzania, vitendo vyake vingi vimeegemea kwenye uovu kuliko matendo mema. Kikundi hiki cha uhalifu, ni aheri kingefutwa ili lianzishwe jeshi la Polisi. Hawa tulio nao kuwaita polisi ni kudhalilisha taaluma hii ambayo ipo na ni muhimu kwa Dunia nzima.
CCM wameiharibu sana hii nchi tumtegemee Mungu pekee kuiponya hii nchi.
 
Hatari sana jinsi polisi saba wanaweza kula njama kama hiyo. Wangekuwa wawili tunasema wachache wanaoharibia jeshi sifa. Hii inamaana asilimia kubwa ni watu wabaya.
Luka 3:14. Na baadhi ya askari wakamwuliza, “Na sisi je, tufanye nini?” Akawajibu: “Msichukue fedha za watu kwa kutumia nguvu (kudhulumu); msiwashtaki watu kwa kuwasingizia makosa; bali mtosheke na misha hara yenu!

Hii ilitamkwa miaka zaidi ya 2000 iliyopita, lakini bado iko applicable mpaka leo.
 
hilo gazeti la kwanza habari imejitosheleza kabisa, kama unatumia simu zoom usome kwenye maandishi mekundu baada ya heading jinsi plan ilivyofanyika.

au rudi 1st post moderators wameiweka sawa.
Unasumbuka na huyu mwehu pitia uchangiaji wake mara nyingi umejaa ujinga mtupu. Eng. Zezudu badilika.
 
Serikali dhalimu ya ccm ndio iko responsible kwa haya yote..ccm inafaidika sana na jeshi hili ovu la polisii na haitafanya juhudi zozote kulibadilisha..kwenye uchaguzi jeshi hili linatumiwa na ccm kuiba kura,kuwatishia mawakala wa upinzani,kuzuia maandamano.kuwabambikia kesi wapinzani.jeshi cheap sana..maslahi yao duni.elimu ndogo..
CCM imeingiaje hapa?? Roho mbaya ni Tabia ya Mtu
 
Ujambazi,Ujangiri na unyang'anyi ni chain inayoanzia ofisi ya waziri,rpc,rto,dc,ded,ocd na kukamilishwa na wadogo. Hapo lazima nguvu ya uma imetumika ku disclose uharifu huu au kuna makosa yamefanyika wao kwa wao na wachache tu watalipia dhambi hii hasa waliokuwa field...
Nimewakubali sana ndugu wamarehemu kwa kuuwasha moto.
 
Back
Top Bottom