wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Yaaan polisi hawana utu wala akili. Sasa, mtu alijinyongaje kwa tambara la deki akiwa mahabusu?
Hili swala la kujinyonga linafikirisha Sana.Nani anajua huenda uwepo wake ni hatari kwa washtakiwa wengine.Huenda alinyongwa au kujinyonga mwenyewe nani ajuae.Zaidi hivi kujinyonga mahabusu ni rahisi hivyo? Mbona kila kitu hatarishi huwa havipo?Najaribu kujiuliza tu.Yaani huyo ndio kamaliza uchunguzi......they are guilty as charged!
Big no,Unataka kusema marehemu alijiua.?
au ndo ile alikuwa anataka kumpokonya polisi bunduki tukaliwahi[emoji16][emoji16]
Big no,
Nawaza labda mshiko ulikuwa mkubwa zaidi ya huo
Ungefatilia kwanini nimemjibu hivuo ungefahamu
muundo mzima wa jeshi hili umepitwa na wakati. LINGEFUMULIWA ILI KULIUNDA UPYA. sehemu kubwa ya jeshi hili si waadilifu, hata yule kijana HAMZA aliyewamiminia risasi polisi , inasemekena pia walimzurumu madini na fedha.Hatari sana jinsi polisi saba wanaweza kula njama kama hiyo. Wangekuwa wawili tunasema wachache wanaoharibia jeshi sifa. Hii inamaana asilimia kubwa ni watu wabaya.
Kwa jinsi mlolongo ulivyo na ukichanganya na kesi juu hamna ela hapo nahisi wanatamani siku zirudi nyuma wawe kama wanaotaHalafu watu wengi wanapiga hesabu rahisi kwamba ukigawanya kwa 7 inakuja mil4.8 hivi wanashau hiyo chain hawako 7 tu. Kuna ambao wamepenya chekeche(washirika wengine) wanaolamba vimilion au laki5 hivi kwahiyo inapungua
Hao watendaji wenyewe pengine walikua na Mil 2 tu kila mmoja
Mkoani Mara, dada mmoja kamuua mama mkwe wake kwa kutoa kianzio cha shilingi 50,000 tu kwa makubaliano kwamba atamalizia sh 450,000 ili kufikisha sh. 500,000 kama wakivyokubaliana iwapo kazi itafanyika. Kwa sasa huyo dada na wale wauaji wapo ndani wanaisaidia polisi. Hapa naonesha kuwa wingi wa pesa si hoja. Wapo wauaji ambao hata wakipewa chupa ya gongo na bangi watafanikisha mauaji .Sasa 33.7 kwa watu saba si ni sawa na kama 4.5
Hivi kweli udhamirie kuuwa kwa 4.5?
matajiri ina maana hawapo. Pole sana kwa familia lakini ni hatari sana kukaa na pesa majumbani!Polisi wasijue una pesa una biashara kubwa ni tatzo kubwa bora wajue majambazi!
Hilo sasa ni deniMkoani Mara, dada mmoja kamuua mama mkwe wake kwa kutoa kianzio cha shilingi 50,000 tu kwa makubaliano kwamba atamalizia sh 450,000 ili kufikisha sh. 500,000 kama wakivyokubaliana iwapo kazi itafanyika. Kwa sasa huyo dada na wale wauaji wapo ndani wanaisaidia polisi. Hapa naonesha kuwa wingi wa pesa si hoja. Wapo wauaji ambao hata wakipewa chupa ya gongo na bangi watafanikisha mauaji .
Maswali mengi mnoHii imenifanya nifikiri zaidi na nikajikuta napata maswali:-
1. Huko mahabusu alikua pekeyake..??
2. Wakati anataka kujinyonga kwanini mahabusu wengine hawakutoa taarifa..??
What if wamemnyonga ili kupoteza ushahidi??
Ndiyo maana wazungu wakija Tanzania hawa wapendi polisi wetu Yan Wana tia doa nchi yetu ina onekana ina askar wa hovyo Yani Bora ukutane na mlinzi wa kampuni binafsi utakuwa salama kuliko kukutana polisi wa TanzaniaHaaa bro kama nakuona vile.
Nimetembea nchi hii sijawahi kuona trafiki wana njaa kali kama mkoa wa pwani hasa wale wa maeneo ya kibiti,mkuranga na rufiji pale muhoro.
Nihatari sana . Askari wamejipanga wanalazimisha rushwa tena wanataka kuanzia elfu kumi.
Najua dawa yao ipo jikoni.
Ila ukumbuke yule Mhusika mkuu Aliyepanga mchongo na kuchukua fedha na madini Aliachiwa huru bilionea Abdalah ZombeKama haya yalitokea enzi za Mzee wa msoga,wafanyabiashara wanne waliuliwa na polisi,harafu wakasingizia walikuwa majambazi,thank God walioshiriki walihukumiwa kunyongwa.
Fikiria hapo wote in viongozi katika hiyo taasisi, Mungu TunusuruHatari sana jinsi polisi saba wanaweza kula njama kama hiyo. Wangekuwa wawili tunasema wachache wanaoharibia jeshi sifa. Hii inamaana asilimia kubwa ni watu wabaya.
Nitoe tu ushuhuda, Leo nimeongozana na gari Land cruiser imebeba vijana ambao huwezidhania kama ni polisi, kuwacheck kama wote wana bastola, kinachonisukuma kuandika haya gari lenyewe halina numba za usajili!! Sasa hawa wqnatambulika na nani wakifanya uhalifu!? No uniform, No car registration!! Full armed!! Afande Sirro Fanya kitu, Vijana wako sio Malaika!! Waziri wa mambo ya ndani Fanya kitu, hii nchi hahitaji polisi wa kuendesha dhuluma, Just wawakamate wahalifu wakiwa wanatambulika sura na utambulisho wao!! RIP MussaNdiyo maana wazungu wakija Tanzania hawa wapendi polisi wetu Yan Wana tia doa nchi yetu ina onekana ina askar wa hovyo Yani Bora ukutane na mlinzi wa kampuni binafsi utakuwa salama kuliko kukutana polisi wa Tanzania
Inasikitisha Ila ndio uhalisiaBora ukutane na majambazi kuliko polisi. Jambazi atakupora tu,
Ila polisi atakupora na kukuua kabisa, akikuinea huruma anakubambikiza unga na bunduki, ukafie jela
Jeshi la Polisi lijitazame upya kuanzia recruitment, training mpaka ufanyaji wao wa kazi. Kuna umuhimu wakawa na KPI, kama ipo nitashangaa sana.Fikiria hapo wote in viongozi katika hiyo taasisi, Mungu Tunusuru