Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Hilo sasa ni deni
Kuua kwa deni hata la shs 200 inawezekana
Ila kuua kwa ajili ya kupora shs 200 haiingii akilini
Ila hawakuua kwa sababu ya deni. Wao walifanya hivyo kwa kuahidiwa kulipwa sh. 500,000. Kwa kuanzia huyo dada aliwapa sh 50,000 alizopewa na TASAF kama msaada kwa watu toka familia maskini.
 
Hawa jamaa ni mashetani sana. Angalia walivyo na nafasi kubwa jeshini! Yaani kwa ujumla wao hakukuwa na hata mmoja mwenyewe akili hata ndogo tu ya kuogopa hiyo dhambi?
 
Watanzania nani aliyewaroga? polisi kuua mfanyabiashara wa madini kijana Mtwara ilitakiwa kuwa sababu ya kila raia kuingia barabarani
 
Watanzania nani aliyewaroga? polisi kuua mfanyabiashara wa madini kijana Mtwara ilitakiwa kuwa sababu ya kila raia kuingia barabarani
Acha kujificha nyuma ya keyboard,ungeanza wewe kuingia barabarani.Watu wanapenda ugali wao atii!!
 
Watanzania nani aliyewaroga? polisi kuua mfanyabiashara wa madini kijana Mtwara ilitakiwa kuwa sababu ya kila raia kuingia barabarani
Anza Kwanza Wewe kuingia huko barabarani kisha ukishamaliza kutenganishwa Kichwa, Bandama, Kolomero na Kiwiliwili ndupo na Sisi ( Watanzania ) tuliyerogwa tutaungana nawe sawa?
 
Hawa jamaa na mawazo yao wanafanya nione labda ile kesi ya kamanda ni kweli. Kila kitu wao ni kuingia barabarani. Serikali imechukua hatua watuhumiwa wanahojiwa bado unataka kuingia barabarani.
 
Watanzania nani aliyewaroga? polisi kuua mfanyabiashara wa madini kijana Mtwara ilitakiwa kuwa sababu ya kila raia kuingia barabarani
Mkuu nchi nyingi za giza, bado usingizi umetawa sana.... ninachojifunza bado hatujui haki zetu kabisa..

Maandamano ni haki kisheria, ila bado tunachukilia kama hisana kutoka kwa watawala...
 
Wanyongwe wote waliohusika na tukio hili this is too much very painful

IGP say something
Akina Zombe waliuwa wafanyabiashara wanne na wakaachiwa licha ya kuwepo ushahidi wa kutosha, hata Hawa wataachiwa tuu maana wao ndo wenye sheria.
 
HII KESI NI RPC NA WENGINE WOTE WASIMAMISHWE ALAFU ndio kesi ianze kuchunguzwa wakati hawapo makazini lasivyo itakuwa kupoteza ushahidi kwa kwenda mbele.. Dekio Linatoka wapi Lock up.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nashangaa RPC asifahamu mchogo kivipi.
 
Kama haya yalitokea enzi za Mzee wa msoga,wafanyabiashara wanne waliuliwa na polisi,harafu wakasingizia walikuwa majambazi,thank God walioshiriki walihukumiwa kunyongwa.
Sie tulio rohoni mbona tunaona Msoga bado iko on top,tukio hili linatofuati gani na hilo la enzi za Msoga.?
Aka kijana.
 
Haipoo hiyooo yani huyu Anajua mzeee..!! Kama wakubwa wote hao wanajua yeye why asijuee
Wadhulumu $13000 washindwe kumkatia mzee $3000 Halafu wale 5 $2000 mhehe hayuko kwenye hesabu
 
Serikali iongeze mishahara kwa watumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…