Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Cc Mh. Simbachawene. Askari siyo wa kuwaachia eti wadili na mwanao, baadhi yao ni wauji.
 
Cc Mh. Simbachawene. Askari siyo wa kuwaachia eti wadili na mwanao, baadhi yao ni wauji.
kwani yeye ndiye kamtuma amtaje ktk ufala wake wa kulewa???

mtoto wa kigogo unatakiwa ujue namna ya kutunza heshima ya mzee wako.
 
Upolisi ni kazi ya laana. Wanamuua mtu kwa sababu ya milioni 33? Hawa jamaa wehu kweli!
 
Upolisi ni kazi ya laana. Wanamuua mtu kwa sababu ya milioni 33? Hawa jamaa wehu kweli!
Ukisoma injili ya Luka, sura ya 3 msitari wa 14, wanachofanya hawa jamaa kilishaandikwa kitambo sana. Msimshitaki mtu kwa uwongo, msidhulumu, toshekeni na mishahara yenu!
 
Upolisi ni kazi ya laana. Wanamuua mtu kwa sababu ya milioni 33? Hawa jamaa wehu kweli!
Kuna watu wengine uwezo wao wa kufikiri ni mfupi sana, alafu kibaya zaidi wamebahatika kuingia kwenye mfumo wetu wa utowaji haki! kuna watu wengine huko wanachukua hadi M100 kwa sound tu,alafu mwisho wa siku inabaki kua kesi ya madai mnaenda mdogomdogo huku maisha mengine yakiendelea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…