Luteni Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 337
- 312
Yaani Atapewa Shutuma Ambayo Pamoja Na Kulala Mauti Hawezi Kupangua HojaInasikitisha sana...
Mwisho ya siku marehemu atapewa shutuma za ugaidi...
Kila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
Wale wale kina ki.ngaiKila siku mauaji ya raia yanayofanywa na polisi yanaongezeka . Na imekuwa too much maana hatuoni IGP akichukua hatua.
Na siro akasema kina mama wasizae watoto kama HamzaNdo maana braza Hamza akaamua kufanya yake.
Wakampa na cheo Cha ugaidi.
Mwamba sana
Acha ngenga weka factWrong, Wrong, Wrong, Wrong
Kwa kuwa alikuwa mtaalam wa karate anataka kuwazidi polisi wetu nguvu ..Yaani Atapewa Shutuma Ambayo Pamoja Na Kulala Mauti Hawezi Kupangua Hoja
Ataambiwa Ni Jambawazi Kubwa Sana Limetafutwa Miaka Mingi Sana
Lilipojitahidi Kutoroka........Hospital......
Hivi hili jeshi lina sifa nzuri?
Lilishachafuka kitambo.kuna wapuuzi wachache wanalichafua jeshin la polisi
Aakari wajirekebishe sana dunia imebadilika hii.kuna wapuuzi wachache wanalichafua jeshin la polisi
yes sio wote wabaya , wapo ambao kweli wanafanya kazi kwa weredi ila hawa wachache wanaharibu sana ..hofu ya Mungu ni kweliAakari wajirekebishe sana dunia imebadilika hii.
Askari wote wawe na hofu ya Mungu au wawe na huruma na watu,hii sio poa kabisa aisee,nafahamu wako baadhi ambao waungwana ila matukio makubwa kama haya yanafanya hata hao waungwana waonekane wabaya
Ukweli kabisa kama hali ndio hii, kuna uwezekano mkubwa Hamza aliuwawa kimakoss, kwani inaonekana alitaka kudhurumiwa, pia hii ya Hamza ichunguzwe upya ili haki itendeke.Tuna sababu zote za kubadilisha muundo wa jeshi la polisi na kuanzisha Tume huru ya kusimamia Malalamiko dhidi ya Jeshi la polisi!! Hongera sana Mwananchi mmeupiga mwingi sana kwa story hizi!! #KatibaMpya
Polisi hawawezi kujichunguza!!! https://t.co/ifjrRHX2Zd
View attachment 2095346
[emoji85][emoji85][emoji85]Bora ukutane na majambazi kuliko polisi. Jambazi atakupora tu,
Ila polisi atakupora na kukuua kabisa, akikuinea huruma anakubambikiza unga na bunduki, ukafie jela