Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

Ni aibu sana kwa jeshi la polisi kila siku ni habari za uporaji na kuua.Cha ajabu viongozi wao wanakaaga kimya kwenye issue kama hizi!
 
Yaani Atapewa Shutuma Ambayo Pamoja Na Kulala Mauti Hawezi Kupangua Hoja
Ataambiwa Ni Jambawazi Kubwa Sana Limetafutwa Miaka Mingi Sana
Lilipojitahidi Kutoroka........Hospital......
Kwa kuwa alikuwa mtaalam wa karate anataka kuwazidi polisi wetu nguvu ..

Ila kwa kuwa polisi wetu wana weledi na wameiva kimafunzo walifanikiwa kumuwahi na hivyo kumpiga risasi na kufariki dunia akikimbizwa hospitalini.
 
kuna wapuuzi wachache wanalichafua jeshin la polisi
 
kuna wapuuzi wachache wanalichafua jeshin la polisi
Aakari wajirekebishe sana dunia imebadilika hii.

Askari wote wawe na hofu ya Mungu au wawe na huruma na watu,hii sio poa kabisa aisee,nafahamu wako baadhi ambao waungwana ila matukio makubwa kama haya yanafanya hata hao waungwana waonekane wabaya
 
  • Thanks
Reactions: Lee

yes sio wote wabaya , wapo ambao kweli wanafanya kazi kwa weredi ila hawa wachache wanaharibu sana ..hofu ya Mungu ni kweli
 
Hatuna imani na jeshi la polisi na tutaikosa pia ktk taasisi itakayokuwa inalisimamia,shida ni sisi watz.hatujui mahitaji yetu ya msingi.
 
Tuna sababu zote za kubadilisha muundo wa jeshi la polisi na kuanzisha Tume huru ya kusimamia Malalamiko dhidi ya Jeshi la polisi!! Hongera sana Mwananchi mmeupiga mwingi sana kwa story hizi!! #KatibaMpya
Polisi hawawezi kujichunguza!!! https://t.co/ifjrRHX2Zd
View attachment 2095346
Ukweli kabisa kama hali ndio hii, kuna uwezekano mkubwa Hamza aliuwawa kimakoss, kwani inaonekana alitaka kudhurumiwa, pia hii ya Hamza ichunguzwe upya ili haki itendeke.
 
Back
Top Bottom