Mtwara: Mama amchoma Mtoto baada ya kula Ugali Nyama uliohifadhiwa kwa ajili ya Bibi yake

Wazazi piken chakula kingi mtoto anatakiwa arudie kula mpaka achoke mwenyewe
Watoto wadogo kila muda wanasikia njaa
 
Acheni kuropoka (baadhi yenu) kwani hamuoni maelezo hayo yalivyojitosheleza!!?

1. Mtoto ana tabia za utundu (wizi udokozi)

2. Mama alitaka kumtishia tu kumchoma ila kwa nahati mbaya ndipo akamuunguza

3. Mama anajutia kwa matokeo yaliyotokana na bahati mbaya katika adhabu aliyokusudia kwa mwanaye

Hatahivyo; hawa jamaa saa zingine wanajua kuyakuza kweli kweli yaani kajambo kadogo linaweza kufanywa lijambo

Yaani ukishasikia dawati la wanawake/jinsia, maendeleo ya jamii, haki za binadamu, shirika la... nk- hao jamaa wakisikia kesi za hivyo wanajua kukomalia kweli bila kuangalia mwisho ni nini (wao wanataka mileage na sifa tu kwa upande wao basi)

Hebu saa zingine tufikirie mbali zaidi kwani huenda tukazidisha badala ya kuondoa/kupunguza matatizo

Angalia mfano unamkomalia mzazi kwajili kamuadhibu mwanaye unamwita muuaji, jina baya na majina makali makali mengine

Maana yake ni kwamba unamfanya hata mtoto aamini hivyo kwamba mzazi wake hamfai

Sasa kama mtoto akiungana na wewe kimawazo na matendo Hiyo itasababisha baba nae asione umuhimu wa mtoto wake

Mbaya zaidi mnajua kabisa baada ya mambo yote hayo (kesi) mtawaacha wahusika wanapita hivi nanyi mtapita vile (maana ni wazi hakuna anayebeba mzigo wa mwenziwe hapa duniani)

Je mnaandaa maisha ya namna gani mbeleni kwa jamii hiyo (kati ya mzazi na mwana na wanaofungamana nao)

Simaanishi muyanyamazie maovu ila kila kitu kina kipimo chake. Hili liko wazi na ndomaana hata mahakamani kuna hatua unasikia NENDENI MKAYAMALIZE NYUMBANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaskini unapaswa kupingwa kwa namna zote, wakianza viongozi kwa sera.
Kwa sasa, vijana tena wasomi ndio tegemezi sana, tutegemee visa zaidi kwa wazazi wajao
 
Acheni kuropoka (baadhi yenu) kwani hamuoni maelezo hayo yalivyojitosheleza!!?

1. Mtoto ana tabia za utundu (wizi udokozi)

2. Mama alitaka kumtishia tu kumchoma ila kwa nahati mbaya ndipo akamuunguza

3. Mama anajutia kwa matokeo yaliyotokana na bahati mbaya katika adhabu aliyokusudia kwa mwanaye

Hatahivyo; hawa jamaa saa zingine wanajua kuyakuza kweli kweli yaani kajambo kadogo linaweza kufanywa lijambo

Yaani ukishasikia dawati la wanawake/jinsia, maendeleo ya jamii, haki za binadamu, shirika la... nk- hao jamaa wakisikia kesi za hivyo wanajua kukomalia kweli bila kuangalia mwisho ni nini (wao wanataka mileage na sifa tu kwa upande wao basi)

Hebu saa zingine tufikirie mbali zaidi kwani huenda tukazidisha badala ya kuondoa/kupunguza matatizo

Angalia mfano unamkomalia mzazi kwajili kamuadhibu mwanaye unamwita muuaji, jina baya na majina makali makali mengine

Maana yake ni kwamba unamfanya hata mtoto aamini hivyo kwamba mzazi wake hamfai

Sasa kama mtoto akiungana na wewe kimawazo na matendo Hiyo itasababisha baba nae asione umuhimu wa mtoto wake

Mbaya zaidi mnajua kabisa baada ya mambo yote hayo (kesi) mtawaacha wahusika wanapita hivi nanyi mtapita vile (maana ni wazi hakuna anayebeba mzigo wa mwenziwe hapa duniani)

Je mnaandaa maisha ya namna gani mbeleni kwa jamii hiyo (kati ya mzazi na mwana na wanaofungamana nao)

Simaanishi muyanyamazie maovu ila kila kitu kina kipimo chake. Hili liko wazi na ndomaana hata mahakamani kuna hatua unasikia NENDENI MKAYAMALIZE NYUMBANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna cha bahati mbaya,mzazi na akili zako timamu mtoto Kala chakula Unamfunga kamba afu unawasha majani kumtisha KwanI kawa chui ni child abuse tu.
 
Haiingii akilini mkuu,
 
Back
Top Bottom