Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IGP wachongo.Tunaelekea wapi Tanzania [emoji1241] hii?ukatili mbona umezidi?IGP say something
Afukuzwe kazi kwani lazima yeye awe IGPHalafu anawatetea eti, hila sirro ni wakati Sasa apumzike tu, mkuu wa jeshi la police atoke JW nashauri
Hata amibadilisha IGP haitasaidia. Jk alikuja na saidi mwema lakini bado Hali ilikua mbaya, akatafuta IGP mwingine Ernest mangu bado hali mbaya.Nilitoa Rai kwamba Mheshimiwa Rais anakosea Sana anapotembea na watu wa kurithi ambao wamejaa hujuma ndani yake. Sijui ni Kwa nini hajaamua kuingia kwenye hizi taasisi. Nimesikitika mno.
Mi huwa najiuliza ni nn haswa hawa polisi hufundishwa wanapokuwa chuoni? Mambo wanayofanyaga huwezi watofautisha na majambawazi!.. hata mahita aliwai kuwa boss wa polisi!IGP abwage manyanga, hii Ngoma aliyowafundisha na kuwazoeza vijana wake, sasa haiwezi. Aliwalaumu wazazi wa Hamza kuwa hawakumfunza vizuri mtoto wao, Kwa uoza huu na mingine iliyotokea, hapo ni Nani hakumfunza vizuri mwanae?
Ukisoma vizuri hapo juu ni kwamba huyo Grayson nae alihusikaAliyejinyoga alipewa ukweli na muhusika na ukute alikuwa hajui chochote ,sasa akwapigia wahusika kuwajulisha ndo wakamfanya kitu kibaya marehemu ,sasa huyu anayesemekana kajinyonga ukute kauawa na wenzie ili wamuangushie zigo kuwa yeye ndo alimpokea hawajui alikompeleka mpaka kakutwa maiti.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Very. Kijana mdogo kabisa mpambanaji,ameanza kula matunda ya jasho lake,wahuni wakiwa na sare wanaamua kumpoteza.Painful
kabisa hao viumbe hata kama ni ndugu yanguSijawahi kumuamini police wala kufikiria kuwa na urafiki nae[emoji119][emoji119][emoji119]
Haya ndio matumizi ya kesi za Ugaidi nchi Tanzania , Suala la Utakatishaji pesa wamelisimamisha kwa muda kutoka na nchi kukumbwa na umasikini wa kutisha