Mtwara: Mjomba wa mfanyabiashara aliyeuawa adai alitishiwa kupewa kesi ya ugaidi endapo ataendelea kufuatilia suala la mpwa wake

Mtwara: Mjomba wa mfanyabiashara aliyeuawa adai alitishiwa kupewa kesi ya ugaidi endapo ataendelea kufuatilia suala la mpwa wake

Polisi watachomwa Moto na laana itawaandama kizazi Chao Mana wamepewa mamlaka ya kuua kisa kazi Yao Wana uwezo mkubwa wa kujisingizia kuwa nilikuwa Niko kazini.
Hii kazi kwa kweli ni ya kipekee jamani.
Ujue wanapewa hela afu bado wanakuwa na tamaa.
Yaani Hamza mfanyabiashara wa madini wakamsingizia kuwa ni gaidi.
Sema jamaa anayo roho ya kuifia Hali yake.

Yaani mapolisi Hawa. Sasa si mlimtuma akuue mtu nyie mlitaka asemeje.
Yaani mna kazi za laana sana. Fanyeni kazi zenu kimaadili.
Yaani inaamsha hasira basi.
Ivi kweli Kama huyu jamaa ni ndugu yangu ameuwa afu ndo tegemeo la ukoo afu anauwa.
Yaani ningehakikisha naua polisi mmoja baada ya mwingine mpaka mngeisha hapo kituoni.
Msijisikie kisa mna uwezo wa kuua na msifanywe kitu.
Hebu waza unavyochukua hako kamshahara kako afu unawasaidia wangapi leo hii ufe.
Yaani huyu mzee wa kihehe afanye kitu.
Mnakumbuka ditopile kwa kiburi Cha madaraka Cha u rc aliua dereva wa Kosta kisa kukwaruza tu gari lake jamani kweli.
Naye so alimfuata siku Ile Ile na yeye aliyekufa.

Mnatia Sana hasira. Shida Askari wengi Wana Kariba ya kijambazi na Kama kivibaka fulani. Wengi si nawajua nimesota nao jkt ni wavuta bangj. Wengi wameshindwa kitaa maisha wanaenda huko kujificha kufanya wizi kiuhalali
 
LKN.jpg
 
Hili tukio linauma sana kaka.

Kinachoumiza zaidi sio wanaoitwa majambazi kuondoa uhai wa mtu kisa tu ni milioni tano ambazo kia mtu atapata,bali kinachouma ni wanaoitwa polisi,wanalipwa mishahara na serikali kabisa,kwa kodi za wananchi akiwemo marehemu na wazazi wake,hao ndio waliofanya jambo hili kwa kutegemea kupata vimilioni tano ambavyo watu hao wakienda kukopa benki jupata zaidi ya hizo.

Inaumiza sana
 
Back
Top Bottom