Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mungu mpokee mja wako HamzaNdo maana hamza ilikuwa anapiga askari tu raia anawaacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mpokee mja wako HamzaNdo maana hamza ilikuwa anapiga askari tu raia anawaacha.
I miss my NABII Hamza so much..!Kitengo cha Tanpol kwa hizi dhuluma ndo maana hamza aliona poa isiwe taabu amalizane nao kabisa mchana kweupe mbele ya macho ya watanzania
View attachment 2096497
InshaAllah na hampe pepo ya juu kabisa kabisa.!Mungu mpokee mja wako Hamza
wanasherekea birthday zaoInasikitisha sana..utashangaa viongozi wapo kimya.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo PoliCCM yenyewe sasa.
Watatuua sana hawa Umbwa, polisi ni majambazi wenye sare.
Kazi ya Polisi ni Kulinda RAIA na MALI ZAO Lakini POLISI WETU Leo WANATUUA na KUCHUKUA MALI ZETU
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Inasikitisha sana..utashangaa viongozi wapo kimya.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hivyo mkuuNi wengi mno, wale ambao tunatangaziwa ni majambazi wamepigwa risasi wakati wakikimbia
Hili tukio linauma sana kaka.
Kinachoumiza zaidi sio wanaoitwa majambazi kuondoa uhai wa mtu kisa tu ni milioni tano ambazo kia mtu atapata,bali kinachouma ni wanaoitwa polisi,wanalipwa mishahara na serikali kabisa,kwa kodi za wananchi akiwemo marehemu na wazazi wake,hao ndio waliofanya jambo hili kwa kutegemea kupata vimilioni tano ambavyo watu hao wakienda kukopa benki jupata zaidi ya hizo.
Inaumiza sana
Polisi no ujambazi wa kusomea (professional robbers)
Rais wa nchi yupo kimya huku wapiga kura anaowategemea wakiuliwa kama Kuku, sijawahi kuwakubali polisi Wa Tanzania tofauti Yao Na majambazi Ni uniform tu