Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

Dalili ya mvua ni mawingu! Acha yawakute ACT maana ndio wenye tamaa na wanaokwamisha vyama vya upinzani kuwa ma msimamo mmoja.
 
Politics is good, but politicians are not...🤨
 
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.

Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
waliyataka enyewe
 
Nimejaribu kufanya utafiti iwapo kuna mwaka polisi waliwahi kuwa na akili lakini sijaupata huo mwaka nikahuzunika sana
 
Haya mambo bodo yapo?! Hizo R 4 zinazoimbwa itakuwa maigizo.
Aliyeonja nyama ya mtu haachi. Wakati tunaingia katika mfumo wa vyama vingi, CCM ilipora mali zote zilizokuwa zikimilkiwa na umma na kuvimiliki kama vyake.

Hiyo haikutosha CCM ilipora taasisi, idara na vyombo vyote vya usalama wa wananchi na kuvimiliki kama vya kwake. Hawajaviachia hadi leo na ole wako ujaribu kuvidai.

Adui namba wani wa taifa hili ni CCM!
 
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.

Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
MBONA MNASEMA MAMA ANAKUBALI NA WANANCHI KURA FEKI ZA NINI TENA?
 
Nakubaliana na wewe. Ila uchaguzi ni njia moja nzuri inayoweza kuleta hayo uliyosema. Wananchi kukiwasha mara nyingi ni lazima kuwe na sababu (chanzo). Ni kama ule ugomvi wa enzi za utoto, mmoja anapewa kijiti na mwingine anaambiwa amnyang'anye ili kumpandisha hasira. Machafuko hayaji kama gwaride, yaani huwapangi wananchi na kuwaambia kuwa kesho ni lazima mkinukishe kwa sababu serikali haitaki uchaguzi huru. Njia sahihi ni kushiriki kila uchaguzi na kuwaanda wananchi kwa kuwaambia kuwa mtu wenu akiibiwa kura msikubali. Na hili linawezekana zaidi wakati wa uchaguzi wa nchi nzima. Resourses za vyombo vya usalama vinavyoilinda CCM itazidiwa na wingi wa wananchi. Trick kubwa hapa ni ''kuwasomesha'' wananchi mpaka waelewe somo na wawe tayari kwa lolote. Changamoto nyingine ni kuwa wananchi wanaweza wasichukuwe hatua kama ilivyokuwa 2020. Lakuaingatia ni to keep trying kwenye kila uchaguzi.
Mkuu tazama kilichotokea Zimbwabwe kumtoa Mugabe, hakikufanyika baada ya uchaguzi. El Bashir wa Sudan hakutolewa kwenye uchaguzi. Egypt kumtoa Hosni Mubarak aliyekuwa anatangazwa mshindi Kila uchaguzi.

Kuendelea kushiriki hizi chaguzi ni kuwapa uhala wasiostahili. Sipingi kuwa kwenye uchaguzi ni sehemu nzuri ya kuanzia, lakini hao wahuni watasema wameshinda kwenye uchaguzi.
 
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.

Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
HAKUNA DEMOKRASIA WALA TUME HURU Chini ya CCM
 
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.

Demokrasia iko wapi au tume huru iko wapi.
Atakuwa katumwa na mwendazake😂😂😂😂😂
 
Mkuu tazama kilichotokea Zimbwabwe kumtoa Mugabe, hakikufanyika baada ya uchaguzi. El Bashir wa Sudan hakutolewa kwenye uchaguzi. Egypt kumtoa Hosni Mubarak aliyekuwa anatangazwa mshindi Kila uchaguzi.

Kuendelea kushiriki hizi chaguzi ni kuwapa uhala wasiostahili. Sipingi kuwa kwenye uchaguzi ni sehemu nzuri ya kuanzia, lakini hao wahuni watasema wameshinda kwenye uchaguzi.
Tatizo la hapa kwetu ni kuwa je, kuna ''watu wakubwa'' wenye maono ambao wako tayari kufanya jambo lisilotarajiwa ili kuleta mabadiko? Tatizo waliopo wote wanafikiria matumbo yao. Tungekuwa na watu wenye uchungu kweli kweli ndani ya vitengo kama TISS na jeshi wala hatuhitaji kutumia mabavu kuondoa uozo. Ni kiasi cha kusubiri unapofika uchaguzi wanahesabu kura kama kawaida halafu wakati wa kutangaza matokeo wanageuza kibao.
 
Je Kinana ataaminika tena ?
Kweli KARMA huwa haina mchezo !
Wameshindwa hata kuwazuga watu kwenye uchaguzi mdogo tu !
Sasa mambo hadharani !
Kimsingi zama za ccm zimeisha na kizazi chake kimepita, mbeleko ya vyombo vya Dola ndio pumzi yao pekee. Bila kupora hawana uhakika tena wa kushinda uchaguzi wowote kuhalali. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli.

Wanachoongea viongozi wa ccm hadharani, sio wanachomaanisha. Ni wale wanaohubiri amani, lakini wameficha mapanga mifukoni.
 
Back
Top Bottom