Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

Dalili ya mvua ni mawingu! Acha yawakute ACT maana ndio wenye tamaa na wanaokwamisha vyama vya upinzani kuwa ma msimamo mmoja.
 
Politics is good, but politicians are not...🤨
 
waliyataka enyewe
 
Nimejaribu kufanya utafiti iwapo kuna mwaka polisi waliwahi kuwa na akili lakini sijaupata huo mwaka nikahuzunika sana
 
Haya mambo bodo yapo?! Hizo R 4 zinazoimbwa itakuwa maigizo.
Aliyeonja nyama ya mtu haachi. Wakati tunaingia katika mfumo wa vyama vingi, CCM ilipora mali zote zilizokuwa zikimilkiwa na umma na kuvimiliki kama vyake.

Hiyo haikutosha CCM ilipora taasisi, idara na vyombo vyote vya usalama wa wananchi na kuvimiliki kama vya kwake. Hawajaviachia hadi leo na ole wako ujaribu kuvidai.

Adui namba wani wa taifa hili ni CCM!
 
MBONA MNASEMA MAMA ANAKUBALI NA WANANCHI KURA FEKI ZA NINI TENA?
 
Mkuu tazama kilichotokea Zimbwabwe kumtoa Mugabe, hakikufanyika baada ya uchaguzi. El Bashir wa Sudan hakutolewa kwenye uchaguzi. Egypt kumtoa Hosni Mubarak aliyekuwa anatangazwa mshindi Kila uchaguzi.

Kuendelea kushiriki hizi chaguzi ni kuwapa uhala wasiostahili. Sipingi kuwa kwenye uchaguzi ni sehemu nzuri ya kuanzia, lakini hao wahuni watasema wameshinda kwenye uchaguzi.
 
HAKUNA DEMOKRASIA WALA TUME HURU Chini ya CCM
 
Atakuwa katumwa na mwendazake😂😂😂😂😂
 
Tatizo la hapa kwetu ni kuwa je, kuna ''watu wakubwa'' wenye maono ambao wako tayari kufanya jambo lisilotarajiwa ili kuleta mabadiko? Tatizo waliopo wote wanafikiria matumbo yao. Tungekuwa na watu wenye uchungu kweli kweli ndani ya vitengo kama TISS na jeshi wala hatuhitaji kutumia mabavu kuondoa uozo. Ni kiasi cha kusubiri unapofika uchaguzi wanahesabu kura kama kawaida halafu wakati wa kutangaza matokeo wanageuza kibao.
 
Je Kinana ataaminika tena ?
Kweli KARMA huwa haina mchezo !
Wameshindwa hata kuwazuga watu kwenye uchaguzi mdogo tu !
Sasa mambo hadharani !
Kimsingi zama za ccm zimeisha na kizazi chake kimepita, mbeleko ya vyombo vya Dola ndio pumzi yao pekee. Bila kupora hawana uhakika tena wa kushinda uchaguzi wowote kuhalali. Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli.

Wanachoongea viongozi wa ccm hadharani, sio wanachomaanisha. Ni wale wanaohubiri amani, lakini wameficha mapanga mifukoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…