Mtwara: Msimamizi wa Uchaguzi mdogo kata ya Chipuputa akamatwa na kura feki, Polisi wamlinda

Kumbe mambo haya bado yapo...!
 
HAKUNA DEMOKRASIA WALA TUME HURU Chini ya CCM
Ni nadra mtu au chama kilichokaa madarakani muda mrefu tena kwa shuruti kukubali kutoka madarakani kwa njia ya kura. Na majadiliano ya njia ya amani Ili kupata tume huru huwa ni hadaa ili kuwapoteza maboya wanaojifanya wanapenda amani. Machafuko tu ndio huleta tume huru na katiba za kweli baada ya Kila mtu kuzika, na kupata kilema Cha maisha. Kinyume na hapo ni kupotezeana muda.
 
Huwa nasema hiyo njia ya kura ni kupotezeana muda, nashangaa Bado Kuna watu wana imani na huo upuuzi. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi itakuwa ni kupotezeana muda.
The hard way is the truth. watz wanaziba masikio about this but one day watajua hakuna another way
 
Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu.​

Kama hakuna hofu ya kushindwa . Kura feki zinapatikana vipi?
Na hup ni uchaguzi mdogo tu.
Hawa jamaa bila kuiba kura hawatoboi , na hawajawahi kutoboa. Wenyewe wanajua kabisa bila kuiba hawawezi kushinda. Tuna safari ndefu sana ili kufikia kwenye lengo la haki
 
Huwa nasema hiyo njia ya kura ni kupotezeana muda, nashangaa Bado Kuna watu wana imani na huo upuuzi. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi itakuwa ni kupotezeana muda.
Mkuu wanaoshabikia upigaji kura ni hao hao magwiji wa wizi wa kura CCM na vibaraka wao.Na nadhani na mimi niseme wazi,mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kushiriki upigaji kura kwa mfumo wa uchaguzi uliopo. One would be an idiot to do that.
 
Halafu watumishi waki iba pesa za umma mna kuwa wakali, wakati nyie ndio mna wafundisha wizi
 
Huwa nasema hiyo njia ya kura ni kupotezeana muda, nashangaa Bado Kuna watu wana imani na huo upuuzi. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi itakuwa ni kupotezeana muda.
CCM na ACT Wazalendo wanaigiza Uchaguzi lao moja.

Chama cha ACT Wazalendo kimeiteka Chama cha CUF na kukiweka chini ya mwamvuli wao unaoshikiliwa na CCM.
 
Huwa nasema hiyo njia ya kura ni kupotezeana muda, nashangaa Bado Kuna watu wana imani na huo upuuzi. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi itakuwa ni kupotezeana muda.
jeshi la nzi🐒
 
Hicho chama cha mbogamboga wamelaaniwa kwa uwizi toka kimeanzishwa
 
Ndo kinana anaahidi uchaguzi huru na wa haki?
Halafu hao hao ACT wakamshangilia utadhani Yanga kamfunga Mamelod!
Nchi hii imefika wakati Mabakamabaka wachukue dhamana kwa miezi 6 tuu kisha tuanze upya kama Ghana ya wakati wa Jerry Rawlings.
 
Mnalalamika Nini? Mkiambiwa hakuna uchaguzi bongo mnagoma. Naunga mkono wizi wa CCM . Ibeni mpaka upinzani waache unafiki. Unashiriki uchaguzi huku ukijua utaibiwa very stupid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…