Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

Mtwara: Mwalimu atiwa mbaroni kwa kujihusha na mapenzi ya jinsia moja

Mtoto wa miaka 4 unambaka........
Kuna mkaka jana nilimuona anaongozana na kitoto kidogo...nawajua wazazi wa huyo mtt ni wale wanaokaa kwny nyumba za watu kulinda kabla hawajahamia..basi nadhani huyo kijana ni mjomba ake maana kafanana na mama yake na mtoto...wakawa wanapita huyo kijana muda wote mkono upo kwny mdudu wake sijui anajikuna sijui anafanya nini yani nilichefukwa nikaujua baadae lazima atamshika mtt au smpe kitu ale...

nikatoka kwa nje maana mm nilikua ndani nawaona nikajifanya kupiga chafya..akageuka akatoa kono lake...nikajifanya kukaita kale katt nikakauliza mama yupo japo wala sijawahi ongea nae yani ilimradi tuu yule kijana ashtuke..mm nilipata hofu sijui kwanini jamani...yani niliingiwa na hali fulani hivi ya kuhisi huyo kijana sio mtu mzuri...any way ndo mjomba mtu wanakaa na mama wa yule mtoto...
Labda ni mawazo yangu tuu...sijui walikuwa wanaenda wapi...
Mm siku hizi kila mtu namuogopa kwa watoto wangu yani hata ndugu zangu ...
hapo ni maagizo ya waganga wa jadi, e.g ili kupata mali n.k
 
Tupe story ilikuajee?

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Miaka ile ilikuwa mwanafunzi wa drs la sita au saba km ni mwanaume alikuwa ni mkubwa kuliko miaka hii. Sasa ilikuwa anakuita ofisini kwake alikuwa na ofisi ya peke yake alitengwa na walimu wenzake.
Sasa akikuita au umepeleka madaftar anaza kukushika shika dudu huku anakuliza vipi Mzee amekua?

Balaa lilikuwa pale inatokea siku wanakuja walimu class tunachaguliwa sisi ambao tulionekana kama ni wakubwa tunapelekwa ofisini tunachezea sana fimbo. Ukiuliza kosa nini tunambiwa sisi huwa tukitoka shule tunaenda kwa yule teacher kumpakua tope. Hiyo siku mtachezea fimbo, mtaruka kichurachura, Yani hakuna kuingia class.
Nakumbuka wakat tunakaribia kufanya mtihan wa drs la saba ukapita mchango ili tupate majibu, ila sisi tuliitwa tukambiwa yule shoga tusimwambie maana yule sio mwanaume akishikwa akaminywa
p*mbu kidogo tu atatoa Siri.
Mtwara nadhan kuna shida,
 
mbona haijaisha
 
Sipendi hii tabia ya mkaka, mda wote kono liko ndani ya boksa, afu ukute hata penye watu, hawajari wala nn.

Wananichefua, uchafu tyuuh.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mi zamani nilikua nikiona hivyo natema mate siku nzima ila siku hz nadhani kichefu chefu kimepungua
 
Nimeona iyo video nimejisikia vibaya nikajuta Kwa nin nimeitizama anyway

Kwann watoto wa kiume mnafanya ivi?? Nini kinachochea?? Sababu ni zipi?? Nimejiuliza maswal mengi sipat majibu hay huyo mwalim na watoto wetu vipi jaman khaaa
 
Miaka ile ilikuwa mwanafunzi wa drs la sita au saba km ni mwanaume alikuwa ni mkubwa kuliko miaka hii. Sasa ilikuwa anakuita ofisini kwake alikuwa na ofisi ya peke yake alitengwa na walimu wenzake.
Sasa akikuita au umepeleka madaftar anaza kukushika shika dudu huku anakuliza vipi Mzee amekua?

Balaa lilikuwa pale inatokea siku wanakuja walimu class tunachaguliwa sisi ambao tulionekana kama ni wakubwa tunapelekwa ofisini tunachezea sana fimbo. Ukiuliza kosa nini tunambiwa sisi huwa tukitoka shule tunaenda kwa yule teacher kumpakua tope. Hiyo siku mtachezea fimbo, mtaruka kichurachura, Yani hakuna kuingia class.
Nakumbuka wakat tunakaribia kufanya mtihan wa drs la saba ukapita mchango ili tupate majibu, ila sisi tuliitwa tukambiwa yule shoga tusimwambie maana yule sio mwanaume akishikwa akaminywa
p*mbu kidogo tu atatoa Siri.
Mtwara nadhan kuna shida,
Nimecheka hadi basi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila mwalimu ukiwa Gay, tena ukute unafundisha sec, lazima utashindwa kujizuia, vijana wako aste aste, unajikuta unawaingia ili wakuridhishe kihisia, Lol.

Sasa huyo ticha wenu hadi kwa watoto wa drs la 6 na 7, mmmh hatariii.

Sema issue ya mtwara, imetokana na huyo Dick kupost mtandaoni mambo ya chumbani.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Jeshi la Polisi mkoa wa Mtwara linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Mwalimu wa Shule ya Msingi Nanyani iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Mohamed Ally Kajao (34) na Dickson Paul Tamba (27), mjasiriamali, mkazi wa Mkuti Chini Machinjioni wilayani Masasi, kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi moja.

Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari Februari 12, 2025 Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Issa Suleiman, amesema tukio hilo lilifanyika Januari 2025 katika nyumba ya kulala wageni (jina limehifadhiwa) ambapo Dickson Tamba aliruhusu kuingiliwa na Mohamed Ally Kajao, kisha kunakili picha mjongeo (video) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii.

Pia Jeshi hilo linamshikilia mlinzi wa Kampuni ya Kiwango Security, mkazi wa Magomeni wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wa kike (10) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne mkazi wa Magomeni. Pia linamshikilia na Mkulima Ahmad Mohamed (39) mkazi wa Libobe wilaya ya Mtwara kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa kike (04) mkazi wa Libobe.

Ameongeza kuwa kwa kipindi cha kuanzia Januari 1, 2025 hadi Januari 31,2025 kupitia doria, misako na operesheni iliyofanyika kwa kipindi hicho Jeshi la Polisi mkoani humo lilifanikiwa kuwakamata watuhumiwa 23 kwa tuhuma za kujihusisha na kubaka, kupatikana na pombe haramu ya moshi (gongo), wizi, kuchoma nyumba moto, kupatikana na nyara za serikali pamoja na kupatikana na dawa zidhaniwazo kuwa ni za kulevya aina ya bangi.

SOURCE JAMBOTV INSTAGRAM PAGE
kwa nini wa2 wanakulana matako??????????????????????????????
 
hamna kitakachobadilika kwan dunia ina miaka 2000!
Usichojua Tabia za jamii huwa zinakuja na kutoeka!
Kama hayo mambo yalianza sodoma miaka 4000 iliyopita na yalipotea yakatlja tena ! so itafika muda itapotea
Kama watu wataendelea kupenda matako unadhani hao watoto watazaliwaje?
 
haumjuwi vizuri huyo Confession ye mwenyewe kaharibika ukubwani akiwa 20 though yeye sio girl. kumbukumbu zake tunazo alishawahi kujitangaza hapa jukwaani na hoja zake zakutuaminisha kuwa ushoga ni maumbile na sio tabia. qmamake shenzi kabisa
Owww asante kwa kukumbuka every detail
 
Dah kijana anakubalije kupelekewa motoooo.
Kijana mwenye misuli yake imaraaa?
Inauma sana
 
Back
Top Bottom