Mtwara: Vitafunwa vipya vyenye umbo la duara vyapewa jina la "VIBASHITE"

Mtwara: Vitafunwa vipya vyenye umbo la duara vyapewa jina la "VIBASHITE"

Huo u SIFURI ndo message ipo hapo. Kweli watu wanajua kutumia fursa
 
Kweli kabisa tumeamua vitu vyote vya duara tunaita bashite mfano vitumbua, ndoo za maji, vikombe nk
 
Bashite mtamu wewe, watu wapo radhi hata kuyumbisha nchi sio kuacha utamu wa Bashite.
 
IMG_20170325_072506.jpg

Ukivuona ni kama vitumbua lakini si vitumbua, hivi ni "viashite" vinafanana na biskuti ukivitafuna.
 
Angalia mkuu usije kula ukazaaa watoto wote wakawa wanapata fa fa fa fa fa kwenye mitihani yao
 
Back
Top Bottom