Mchiwa Ng'ambaku
JF-Expert Member
- Jan 24, 2015
- 959
- 803
Mkuu umekula kiduara [emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vibashite oyeeeeMakonda oyeeee
Wewe huwa unatokea mara nyingi kwenye post za makonda, nimekuona huku sasa naamini na wewe unajua kuwa Bashite na makonda vina uhusiano!Makonda oyeeee
Wewe huwa unatokea mara nyingi kwenye post za makonda, nimekuona huku sasa naamini na wewe unajua kuwa Bashite na makonda vina uhusiano!Makonda oyeeee
[emoji107]Makonda oyeeee
HahahaaaAngalia mkuu usije kula ukazaaa watoto wote wakawa wanapata fa fa fa fa fa kwenye mitihani yao
Mtamu yakheMwamtafuna Bashite
Aha
Kuna raha yake eeh?
Katamu ka bashite!
Bashiteeeeee!
Tamu Ya Mtemi!
Napokea mkuu, ngoja niwasiliane na mtengenezaji tukutumie uvitafuneUnapokea oda ya vibashite mkuu.. Nataka vitano