Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

Hakuna uwiano kabs wakat mbunge anachukua hiyo milion kumi na sita kuna mtu kiwandani kwa muhindi anapokea laki na nusu kwa mwezi!
 
Sio Waafrika wote wana hayo mambo.

Tuna msifia hayati Mwalimu Nyerere, yeye mbona hakuwa hivyo pamoja na kuitawala hii Nchi miaka 25

Kuna baadhi wanajali wenzao.

Mimi mwenyewe siko hivyo unavyodhani, kuna mahali ilikuja hela ya haraka haraka 150 milioni, huwezi amini.

Niliirudisha, nikawaambia kama kufa masikini wacha nife lakini hela za hivyo sizitaki.

Watu wema bado wapo Mkuu
 
Hilo nililitambuaga kitambo..
Na akitokea mtu akijaribu kutuweka katika mstari atapigwa vita hatari...
Waafrica na Waarabu lao moja tu... "mitonyo na ubishoo"
Wewe unajifananisha na waarabu kwa kipi haswa ?
 
Waafrika wote sio wapumbavu ila waafrika wengi ndio wapumbavu ubaya ni kuwa wengi wanaathiri wachache
 
Licha ya kuwa wapo kwenye migogoro lakini hizi taka taka zenu haziwezi kuwa level moja na hao.
We mse... kweli ... si ungeenda kuishi huko.. yani unaringanisha Tanzania na huo uchafu wa Libya, Yemen muda wowote kuna f*la anajilipua... yani nyie bora hata waafrica... mko chini kabisa
 
Hivi ni nchi zote za Kiafrika hadi zile za kaskazini mwa Afrika au ni hizi za Kiafrika hasa kusini mwa jangwa la sahara?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
We mse... kweli ... si ungeenda kuishi huko.. yani unaringanisha Tanzania na huo uchafu wa Libya, Yemen muda wowote kuna f*la anajilipua... yani nyie bora hata waafrica... mko chini kabisa
Umeona ulivyo kosa akili hili ndilo kundi kubwa la waafrika wapumbavu linalo athiri kundi dogo jinga kabisa🤡
 
Umeona ulivyo kosa akili hili ndilo kundi kubwa la waafrika wapumbavu linalo athiri kundi dogo jinga kabisa[emoji1782]
Wee chukua tym... ulitaka kutudanganya hapa kwamba waarabu mmeendelea kwa kututajia vinchi vitatu (tena vinabebwa na wazungu)...ukaacha kutaja magofu kama syria..
Angalia na hawa ndugu zenu hawa wa karibu: somalia (toka nazaliwa hadi nazeeka bado wanapigana), pakistan, sudan, afghanstan... yani ovyo kabisa umbwa wewe
 
Back
Top Bottom