Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

Muafrika hawazi maendeleo kwa Jamii yake, anachowaza ni Kushiba na Uasherati

Wee chukua tym... ulitaka kutudanganya hapa kwamba waarabu mmeendelea kwa kututajia vinchi vitatu (tena vinabebwa na wazungu)...ukaacha kutaja magofu kama syria..
Angalia na hawa ndugu zenu hawa wa karibu: somalia (toka nazaliwa hadi nazeeka bado wanapigana), pakistan, sudan, afghanstan... yani ovyo kabisa umbwa wewe
Bora wao wanapigana na udharimu nyie Watanzania mmeolewa na CCM🤡
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Kwa kifupi tusichoshane!.

Nimekuwa nikiwasikia watu wengi kama si wote wamekuwa wakiitupia mzigo wa lawama serikali ya kwamba inashindwa kutekeleza mambo muhimu naya msingi huku ikiwaacha wananchi wakitaabika kwa kuwa na maisha magumu,hata kile kidogo wakipatacho serikali imekuwa ikiwakamua kwa kodi lukuki pasipo kuona matokeo chanya ya kodi zao.

Hivi ndugu zangu labda niwakumbushe kitu,nyie mnaolalamika mnadhani muafrika katokea Ulaya?

Kiongozi yeyote aliyezaliwa hapa Afrika(BARA LILILOJAA NEEMA) kwa kifupi anapopata nafasi katika serikali yake ni lazima Kwanza Ashibishe tumbo lake halafu kitakachofuata ni Umalaya kwa kwenda mbele(Uasherati).Hiii roho ni kwakila Muafrika nikiwemo mimi na wala si utani(Waafrika tuna laana).

Ukipita vijiweni huko utawakuta wapumbavu kadhaa wanapiga stori kana kwamba wakipewa madaraka ya hii nchi watafanya vema kuliko waliotangulia lakini ukiwachunguza kwa undani utagundua ni umasikini ndiyo unao wasumbua.Yaani mtu kama Babu Tale ambaye amekulia kwenye umasikini wa kutupa apate nafasi ya kuwa waziri wa wizara fulani utegemee akuletee maendeleo?Yaani aache kujenga kwake na Kwao na kuwafurahisha wanawake zake aje akufurahishe wewe asiyekufahamu?

Ni nani leo angepewa madaraka kwenye sekta fulani akakutana na mzungu anataka kutorosha madini na akawekewa mzigo wa Rushwa mezani kuanzia milioni 500 angekataa? Aisee labda si Muafrika!.

Huyu huyu Muafrika anayetaka Magari mazuri,mademu wakali na apendaye sifa aziache hizo hela?

Najua kinachotusumbua ni wivu tu lakini waafrika wote ki-Matendo ni kama tunafanana!.

Leo najua unapiga domo kwasababu unasumbuliwa na njaa & umasikini lakini hata wewe ukipewa kitengo hakuna utakachofanya zaidi za kuzipiga kisawasawa!.

AFRIKA INA NEEMA,WAAFRIKA WANA LAANA!

Ni hayo tu.
Kama kuna sekta inahitaji mtu asiyenunulika niwekeni mimi. Tupo ndugu yangu ila ni wa kumulika na tochi.
 
Back
Top Bottom