Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

Sirai

Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
13
Reaction score
6
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.

Itawezekana muajiri kunikubalia coz masomo ni evening classes
 
Ukitaka kuapply scholarship za nje; utawaona hawa;
IMG-20230208-WA0007.jpg
 
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.

Itawezekana muajiri kunikubalia coz masomo ni evening classes
Evening class haihitaji ruhusa.
Anza shule mkuu.
 
Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.

Itawezekana muajiri kunikubalia coz masomo ni evening classes
Nijibu kwanza haya maswali kabla sijakushauri:
1. Mwajiri wako ni wa aina gani?
Ni serikali?
Ni Taasisi isiyo ya kiserikali (NGO)?
Ni taasisi ya mtu binafsi (private)?
Ni taasisi ya dini? (faith-based organization)?
2.Hiyo kozi ya Masters unayotaka kuifanya (Masters in health economics and policy) ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yako unayoifanya sasa hivi?
 
Nijibu kwanza haya maswali kabla sijakushauri:
1. Mwajiri wako ni wa ain gani?
Ni serikali?
Ni Taasisi isiyo ya kiserikali (NGO)?
Ni taasisi ya mtu binafsi (private)?
Ni taasisi ya dini? (faith-based organization)?
2.Hiyo kozi ya Masters unayotaka kuifanya (Masters in health economics and policy) ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yako unayoifanya sasa hivi?
Maswali ya interview [emoji119]
 
Mm ni muajiriwa mpya wa serikali ni mtu wa afya muhimbili hospital ila nahitaji kusoma muhimbili University
 
Ndo umemaliza?
Yaani inashangaza sana, huyu ni msomi wa chuo kikuu ana degree ya kwanza (bachelor) na yuko njiani kujiunga na shule ya degree ya uzamili (masters). Hayo ndo majibu yake kwa maswali niliyomuuliza.
Kazi kweli kweli.
 
Wasomi wa Zion Collage
 
Nimejibu kulingana na ulichouliza short and clear au wewe ndo wale mnaopenda Kujaza karatasi nakuomba extra papers ili uandike porojo na stori
Kwel Kuna watu always negative thinking
 
Hilo jibu lako "short and clear" limejibu hili swali hapa chini ambalo niliuliza pia?
2.Hiyo kozi ya Masters unayotaka kuifanya (Masters in health economics and policy) ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yako unayoifanya sasa hivi?
 
Mkuu hujaonesha hizo gharama za application for scholarship only sop writing au miwani yangu haioneshi vizuri.
Hapo kuna gharama za just SOP writing boss. Kama ukitaka tukusaidie na kuapply tunakusaidia. Gharama zake zinapimwa kutokana na internet na muda utakaotumika.
 
Hilo jibu lako "short and clear" limejibu hili swali hapa chini ambalo niliuliza pia?
2.Hiyo kozi ya Masters unayotaka kuifanya (Masters in health economics and policy) ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yako unayoifanya sasa hivi?
Inaonesha jamaa hayuko serious na mambo yake. Na sijui huo uchumi alio soma una msaidia nini?!
 
Back
Top Bottom