Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

Mm ni muajiriwa mpya wa serikali ni mtu wa afya muhimbili hospital ila nahitaji kusoma muhimbili University
Kama ukiweza kumjibu Mwalimu Ntuntu Ayo maswali ata kwa kumfwata inbox ingekupa mwanga vzr sana : kunajamaa yangu nilikuwa nafanya nae kazi akaona ngoja ajiogeze kusoma masters ! ila pale ofisini Kuna Mzee mmoja akamwambia kijana icho kitu unachotaka kufanya usimwambie mtu piga kimya kimya , then mwisho wa siku njoo na cheti , ila jamaa akufanya ivo boss akazipata story zake kuwa jamaa anasoma , kilichotokea Sasa jamaa kashalipa mpk ada imebaki wiki Moja kuaza ue akapata barau kutoka ofisini ameamishwa kituo cha kazi Tena kapelekwa mbali zaidi ndoto ya masters Ili kata hapo hapo ! Maswali aliyokuuliza uyo jamaa yapo vzr sana kama ukitazama kwa jicho la tatu
 
Back
Top Bottom