Evening class haihitaji ruhusa.Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.
Itawezekana muajiri kunikubalia coz masomo ni evening classes
Evening class haihitaji ruhusa.
Anza shule mkuu.
Ni sahihi mkuu.Vyema kumtaarifu mwajiri wake vinginevyo ni dharau,kumbuka mitihani hufanyika sometimez asbhu muda wa kazi.
Nijibu kwanza haya maswali kabla sijakushauri:Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter.
Itawezekana muajiri kunikubalia coz masomo ni evening classes
Maswali ya interview [emoji119]Nijibu kwanza haya maswali kabla sijakushauri:
1. Mwajiri wako ni wa ain gani?
Ni serikali?
Ni Taasisi isiyo ya kiserikali (NGO)?
Ni taasisi ya mtu binafsi (private)?
Ni taasisi ya dini? (faith-based organization)?
2.Hiyo kozi ya Masters unayotaka kuifanya (Masters in health economics and policy) ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yako unayoifanya sasa hivi?
Ndo umemaliza?Mm ni muajiriwa mpya wa serikali ni mtu wa afya muhimbili hospital ila nahitaji kusoma muhimbili University
Miaka mitatu baada ya kumaliza
Yaani inashangaza sana, huyu ni msomi wa chuo kikuu ana degree ya kwanza (bachelor) na yuko njiani kujiunga na shule ya degree ya uzamili (masters). Hayo ndo majibu yake kwa maswali niliyomuuliza.Ndo umemaliza?
Wasomi wa Zion CollageYaani inashangaza sana, huyu ni msomi wa chuo kikuu ana degree ya kwanza (bachelor) na yuko njiani kujiunga na shule ya degree ya uzamili (masters). Hayo ndo majibu yake kwa maswali niliyomuuliza.
Kazi kweli kweli.
Hilo jibu lako "short and clear" limejibu hili swali hapa chini ambalo niliuliza pia?Nimejibu kulingana na ulichouliza short and clear au wewe ndo wale mnaopenda Kujaza karatasi nakuomba extra papers ili uandike porojo na stori
Kwel Kuna watu always negative thinking
Mkuu hujaonesha hizo gharama za application for scholarship only sop writing au miwani yangu haioneshi vizuri.Ukitaka kuapply scholarship za nje; utawaona hawa;
View attachment 2512221
Hapo kuna gharama za just SOP writing boss. Kama ukitaka tukusaidie na kuapply tunakusaidia. Gharama zake zinapimwa kutokana na internet na muda utakaotumika.Mkuu hujaonesha hizo gharama za application for scholarship only sop writing au miwani yangu haioneshi vizuri.
Inaonesha jamaa hayuko serious na mambo yake. Na sijui huo uchumi alio soma una msaidia nini?!Hilo jibu lako "short and clear" limejibu hili swali hapa chini ambalo niliuliza pia?
2.Hiyo kozi ya Masters unayotaka kuifanya (Masters in health economics and policy) ina uhusiano wa moja kwa moja na kazi yako unayoifanya sasa hivi?