Kwa kweli na mimi nimewaza hivyo. Maana ingekuwa ni kutoka nje ya nchi ndiyo huchukua siku mbili. Naona hapa kuna kituAliyekutumia itakua kakudanganya. Muamala ni fasta tu au muombe akupe slip ya muamala
Thubutuu. Mimi?? NeverKushapigwa za uso mkuu
Pole sana ndugu. Nakusii hachana na benki hiyo, hakika utakuja nishukuru baadae. By the way, una uhakika kuwa hawajafirisiwa na kuwa chini ya uangalizi wa BOT?Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga customer care NBC wakasema muamala haujawasili. Namuuliza mdada wa customer care kwa kawaida inachukua muda gani ananijibu inategemea imetumwa kwa njia gani. Sikumuelewa. Kule ninakodai nimeshindwa kumpata hewani mchana huu. Mwenye uzoefu na transactions kutoka CRDB kwenda NBC anijuze hutumia muda gani. Shukran.
Hebu nijuze mkuuHADI SASA HIVI MNATOA MAJIBU YASIYO KWELI KWA MUHUSIKA!
subiri saa 24,kama itapitia BOT hiyo tegemea Kesho!Hebu nijuze mkuu
Ninaidai kampuni siyo mtu binafsiIn 2 hours time transaction inatakiwa iwe imekamilika, otherwise ka request then wahudumu wa remitter bank hawaprocess au katumia app pengine mtandao una shida
vyema ukamuomba evidence, km screenshot ya transaction au received document from bank
Thanks. Ngoja nivute subira mpaka kesho maana hasira zilishanipanda!subiri saa 24,kama itapitia BOT hiyo tegemea Kesho!
ingekuwa CRDB kwa CRDB,isiwe bank moja kwenda nyingine!
ShukranMasaa 8 ya kazi BOT,
Niliwaambia wanitumie Tigo pesa ambayo siku zote inakuwa instant ila nashangaa this time transaction was declined!Epuka kabisa kupitisha pesa benki tofauti kama unamishe ya haraka..