- Thread starter
- #21
Asante. Kesho nitajua mbivu mbichiHuwa nafanya transactions kwa hizo benki mbili ulizotaja na mara zote miamala imekua ikifika papo hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante. Kesho nitajua mbivu mbichiHuwa nafanya transactions kwa hizo benki mbili ulizotaja na mara zote miamala imekua ikifika papo hapo
Aisee bia nailazimisha kushuka inashuka kwa taabu sana!!Utasoma kesho mapema relax kula beer
Sasa ndio utulie kesho saa mbili na nusu asubuhi utaona muamala umesomaAisee bia nailazimisha kushuka inashuka kwa taabu sana!!
Njia zote 2 wanatumiaNinaidai kampuni siyo mtu binafsi
Njia zote 2 pia wanatumiaNinaidai kampuni siyo mtu binafsi
Naomba Mungu iwe hivyo vinginevyo kesho itakuwa siku mbaya kwanguSasa ndio utulie kesho saa mbili na nusu asubuhi utaona muamala umesoma
Salio litasoma hilo kesho mkuuNaomba Mungu iwe hivyo vinginevyo kesho itakuwa siku mbaya kwangu
Mkuu kwani kila shilingi si ina thamani ya senti 100 au?😂Eti senti zangu😂 Dah Ila watu wenye hela utawajua tu hawapendi kujikweza.
Amen!Salio litasoma hilo kesho mkuu
Kwani hukuwa na senti zingine....Naomba Mungu iwe hivyo vinginevyo kesho itakuwa siku mbaya kwangu
😆😆 tatizo sio senti ndugu tatizo ni mipango🤣Kwani hukuwa na senti zingine....