Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

kwenye video fupi niliyoweka anakuonya juu ya chanjo, mkuu. Hiyo nayo umefeli?
Ndo maana nkashaur turud kwa muumba kuptia miongozo alyotupa(Bible,quran) ili tutumie roho/moyo (ambapo yeyw hukaa humo) ili kufanya maamuz.. physically ukiresist Ni hatar
 
uko sahihi, ila humu mijadala ya kidini hua inafutwa, ndio maana wengine tunajaribu kuwaonya watu kwa njia hii. Sio kwamba tunafanya knowledge for knowldge sake. No.
 
Dah, nlishasahau..anyway nisamehe Kama nimekukwaza bro, shukran za dhati..na ww Uzi wako tutashare Kama ulvyofanya kwa mwamba gadda
 
Ni kweli Gadafi alipenda Afika iungane - jambo ambalo ni gumu kufanya mara moja. Lakini kwenye post yangu nimeweka video yake fupi ya dak moja. Anaongelea mipango ya mataifa tajiri kutengeneza chanjo na ili kunufaika kiuchumi.
hio ni conspiracy tuu, mataifa yalioendelea kisayansi na teknolojia kuanzia marekani ulaya urusi japan yangekubali vipi watu wao na chumi zao kuangamia wakati wakijua mmoja wao amecreate tatizo kunufaika nalo, kwa zamani sawa ila kwa sasa nchi nyingi zimeendelea kwe hizo medan na zina uwezo wa kutofautisha virus halisi na yule alietokea maabara, kwanza madhara yanayosababishwa na pandemics yanakuwa makubwa kuliko gain yeyote ile kiuchumi ambayo unaweza kuipata, ni conspiracies tu za gadafi aliekuwa anajua kuwa wamarekani hawampendi wangeweza kumuua so alifny juu chini kukusanya support kumzunguka na ndio maana alikua busy na baadhi ya mambo km vile kuunganisha africa nk ambayo kimsingi ilikua ni attempt ya kujishield na pressure kutoka kwa wabaya wake, ni km tu vile marekan anavyotumia kichaka cha NATO kupiga mishe zake au France na German wanvyoitumia EU, Gadafi nae alikua na dream ya kuja kuitumia africa, ogopa sn watu wenye ambitions kubwa km hawa huwatumia wengine km ngazi, wahuni tu marekan sadam gadaf na wengineo
 
hakuwa na kosa lolote mkuu, alivamiwa kwa sababu ya uonevu tu, kama ambavyo sadam naye alivamiwa kwa uongo tu - watu wanataka mafuta na pia hawataki mtu asiyewategemea wao.
gadafi was a soldier, he fought he lost basi, ila hakuwa na kosa wala hakuwa saint vile vile
 
hakuwa na kosa lolote mkuu, alivamiwa kwa sababu ya uonevu tu, kama ambavyo sadam naye alivamiwa kwa uongo tu - watu wanataka mafuta na pia hawataki mtu asiyewategemea wao.
Basi, basi, basi!!.
ikiwa Gaddafi hakuwa na kosa, inatosha kusoma nyuzi zako.
ila ajue kuwa, ukoaliko damu ya walibya na libya inamlilia.
hakuna ushahidi wa kimbingu na ardhi kuwa libya ilikuwa mali yake na watoto wake.
 
hio ni conspiracy tuu, mataifa yalioendelea kisayansi na teknolojia kuanzia marekani ulaya urusi japan yangekubali vipi watu wao na chumi zao kuangamia wakati wakijua mmoja wao amecreate tatizo kunufaika nalo, kwa zamani sawa ila kwa sasa nchi nyingi zimeendelea kwe hizo medan na zina uwezo wa kutofautisha virus halisi na yule alietokea maabara, kwanza madhara yanayosababishwa na pandemics yanakuwa makubwa kuliko gain yeyote ile kiuchumi ambayo unaweza kuipata, ni conspiracies tu za gadafi aliekuwa anajua kuwa wamarekani hawampendi wangeweza kumuua so alifny juu chini kukusanya support kumzunguka na ndio maana alikua busy na baadhi ya mambo km vile kuunganisha africa nk ambayo kimsingi ilikua ni attempt ya kujishield na pressure kutoka kwa wabaya wake, ni km tu vile marekan anavyotumia kichaka cha NATO kupiga mishe zake au France na German wanvyoitumia EU, Gadafi nae alikua na dream ya kuja kuitumia africa, ogopa sn watu wenye ambitions kubwa km hawa huwatumia wengine km ngazi, wahuni tu marekan sadam gadaf na wengineo
mkuu unamaanisha hiki cha sasa ni halisi?
 
Basi, basi, basi!!.
ikiwa Gaddafi hakuwa na kosa, inatosha kusoma nyuzi zako.
ila ajue kuwa, ukoaliko damu ya walibya na libya inamlilia.
hakuna ushahidi wa kimbingu na ardhi kuwa libya ilikuwa mali yake na watoto wake.
simaanishi mkuu kwamba alikuwa mkamilifu. Ninaposema hakuwa na kosa, namaanisha kiuhusiano kati yake na mataifa makubwa. Kilichomfanya marekani avuke bahari kuja kumng'oa ni uongo na uonevu.
 
Nilipata kusikia kwamba jamaa anataka aifanye africa iungane iwe nchi moja...Hili kwangu nililiona ni jambo zuri

Nikaskia kwamba katika umoja huo yeye ndiye awe raisi anayetawala....Hapa nikakubali endapo kutawekwa sheria za haki kuwaruhusu wananchi wachague kiongozi wanayemtaka

Nikaskia tena katika huo uongozi utahusishwa sharia za kiislamu kiufupi nchi inakua na vielements flani hivi vya kidini ambavyo vinaminya uhuru wa mtu....I raised my middle finger on this
Gaddafi alikuwa mwendawazimu.
wakati anataka Africa iungane iwe moja muda huo huo anataka naijeria itengane, upande mmoja wa waislamu na mwingine wa wakristo.
sasa unajiuliza, hiyo Africa moja ni ipi ama naijeria iko Asia?.
 
kama binadamu yeyote ni kweli alikuwa na makosa kibao. Interest yangu kubwa ni kwa habari ya uhusiano wake na magharibi, na hasa kile anachokisema kwenye hiyo video fupi
 
Nachoambiwa ni Uongo alafu unataka niamini wewe unachoniambia ?

Logically Argument yako imeanza na Ukakasi Ab Initio; Anyway wewe shuka Facts...,

Na lazima ujue ulimwenguni watu wana-motive zao na Politics is no different. Sadam na makosa yote kilichomuondoa ni Weapon of Mass Destruction ambazo halikuwa hana (ila sidhani kama alikuwa Saint)...

Politics is a Game of Power, you loose it you fail... (and the ones who win are not necessarily Saints)
 
Yaani tuko pamoja vizuri sana. Ni kweli kabisa hakuwa saint. Wengi wameumia mikononi mwake. Ila sijui kama umesikiliza hiyo video yake (1 min) na ku-relate na kinachoendelea sasa. At least for that, je, hicho hakimpi credit katika hicho anachosema? Kwamba watu wanatumia virus ili kujinufaisha tu na sio kujali afya yako?
 
Sijaicheki hio clip; kwahio unasema watu wanatengeneza Virus ili wapate Pesa ? Basi watu hawa hawana akili of all the methods ya kupata pesa kama akili yao mwisho wake ni kutengeneza kitu kinachowadhuru hata wenyewe na wala hakuna guarantee ya kwamba wao ndio watavuna hizo pesa...

By the way kama ndivyo kwanini tusiende kwa culprits moja kwa moja ambao ndio wananufaika sasa hivi (pfzier, na kampuni nyingine) ila utagundua kwamba risk ya kuwa found out na kwa corporation kama hii ni hatari zaidi kuliko pesa yoyote wanayoweza kutengeneza...

Hata kama Virus imetoka maabara itakuwa ni kwa uzembe au bahati mbaya na sio deliberately watu wapate pesa (unless watu hao ni magaidi ambao wanaamini kufanya kwao hivi ni kitu chema) au ni watu wenye akili fupi kwa kutumia hii njia ya ajabu...
 
Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bunduki
Hivi Angela Merkel ametumikia miaka mingapi pale Germany? Mbona hajawahi kusema hamna democrasia pale?
 
Back
Top Bottom