Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

Muammar Gaddafi hakuwa na kosa

Marekani ilikuja kwa interest zake. Gaddafi ndio alishindwa kuwasaidia Walibya kwa kushindwa kuweka misingi madhubuti ya kupokezana uongozi pamoja na kukaa madarakani zaidi ya miaka 40. Matokeo yake alivyoondoka kila kitu kikavurugika
Hakuna watu wanafiki kama nyie!
 
Sijaicheki hio clip; kwahio unasema watu wanatengeneza Virus ili wapate Pesa ? Basi watu hawa hawana akili of all the methods ya kupata pesa kama akili yao mwisho wake ni kutengeneza kitu kinachowadhuru hata wenyewe na wala hakuna guarantee ya kwamba wao ndio watavuna hizo pesa...
By the way kama ndivyo kwanini tusiende kwa culprits moja kwa moja ambao ndio wananufaika sasa hivi (pfzier, na kampuni nyingine) ila utagundua kwamba risk ya kuwa found out na kwa corporation kama hii ni hatari zaidi kuliko pesa yoyote wanayoweza kutengeneza...

Hata kama Virus imetoka maabara itakuwa ni kwa uzembe au bahati mbaya na sio deliberately watu wapate pesa (unless watu hao ni magaidi ambao wanaamini kufanya kwao hivi ni kitu chema) au ni watu wenye akili fupi kwa kutumia hii njia ya ajabu...
mkuu, you have such an innocent trust ambayo inaogopesha!!
Sasa, that is EXACTLY what they do, and they have planned this for years.
Na sasa wanatekeleza.
 
Aachie madaraka mapema na kutengeneza succession plan bila kusubiri kumwaga damu. Lakini Ndio hivyo historia huwa inajirudia kwamba dikteta hawezi kutoka madarakani bila mtutu wa bunduki
Dunia imejaa uwongo!
Eti wengine wanasema Gadaffi hakuwa dikteta!
Eti wengine wanasema hakuhusika kabisa katika mpango wa kulipua ndege ya Pan AM flight 103 (Lockerbie Bombing) mnamo mwaka 1988 kule Lockerbie, Scotland, UK!
Eti hakuhusika kabisa ku-engineer mpango huo ulioteketeza roho za watu wapatao 270 wasiokuwa na hatia! Aisee, dunia imejaa uongo.

c.c: Teleskopu
 
mkuu, you have such an innocent trust ambayo inaogopesha!!
Sasa, that is EXACTLY what they do, and they have planned this for years.
Na sasa wanatekeleza.
Mkuu haupo realistic na unawapa binadamu extraordinary powers ambazo hawana (Huwezi ukafanya such a conspiracy alafu ukategemea uifanye iwe siri) hio sahau na uwezo wa kushikwa / kugunduliwa ni mkubwa sana na impact yake ukishikwa ni immeasurable...

Sasa Kampuni kama Pzier ambayo ipo pale generations na generations na inapata profit kujihusisha na hii bet itakuwa ni uchizi.., ingawa makosa hufanyika na kampuni nyingi zimepoteza billions of money kwa kugundulika kwamba makosa waliyofanya yameleta shida kwa watu (tobacco companies, pharmaceuticals n.k.) , ila hata wao huwa inatokea kwa bahati mbaya au wanachokifanya hawajui impact yake wakati wanafanya..., That's science sometimes you need time to find the outcomes... (ndio maana chanjo / dawa n.k. zinachukua muda mrefu sana kuwa approved na zikiwa approved inaweza kuchukua miaka tena kujua side effects) ila ndio hivyo hakuna jinsi life must go on.., na hawa scientists wanakesha usiku na mchana kupigana vita na magonjwa / virus n.k. as they are constantly mutating....
 
Dunia imejaa uwongo!
Eti wengine wanasema Gadaffi hakuwa dikteta!
Eti wengine wanasema hakuhusika kabisa katika mpango wa kulipua ndege ya Pan AM flight 103 (Lockerbie Bombing) mnamo mwaka 1988 kule Lockerbie, Scotland, UK!
Eti hakuhusika kabisa ku-engineer mpango huo ulioteketeza roho za watu wapatao 270 wasiokuwa na hatia! Aisee, dunia imejaa uongo.

c.c: Teleskopu
😁sawa mkuu - yote uliyosema yana ukweli.
Lakini walioenda kumng'oa hawakwenda kwa sababu hizo.
 
mkuu inawezekana ku-prove hayo ninayosema.
Lakini naomba nikuulize swali dogo - umeshasikia kwamba anthony fauci amesimamia na kugharamia GAIN OF FUNCTION ya virusi hivi kule Wuhan lab China? Gain of fuunction ina maana kuviongezea uwezo virusi viwe hatari zaidi, viambukize zaidi na viue zaidi.
 
Motive yake ni nini ?
Na viue watu wa aina gani?

Na kabla haujafika mbali unajua wanasanyansi sio jambo la ajabu kwenye laboratory kucheza na Kirusi kwa kukibadilisha na kukichezea ili waone ikiwa hivi au vile wanaweza wakafanya nini ili kukikabiri (yaani kama vita ku-preempt move ya adui yako) unajua hilo ?
 
hilo nakubali na ni hali ya kawaida ya kibinadamu.
Hata ungekuwa na msosi tu wa kawaida, lazima ungesema hivi nikiunga na nyanya chungu itakuwaje, nk.
Lakini hapa tunaongelea INTENTIONAL gain of function.
Lengo ni kukuua wewe na mimi hadi dunia ibakie na wanadamu 500,000,000 kutoka 7,000,000,000.
Nilisema una innocent trust (kama walivyo wengi) kwa sababu reaction ya kwanza utasema, HAKUNA KICHAA ANAWEZA KUFANYA HIVYO.
 
kama binadamu yeyote ni kweli alikuwa na makosa kibao. Interest yangu kubwa ni kwa habari ya uhusiano wake na magharibi, na hasa kile anachokisema kwenye hiyo video fupi
utawala wake wa kiimla ndiyo ulifanya aone west ni kitisho kwake.
Muhammad, baba wa taifa la Malaysia kaifanyia makubwa nchi yake lakini wakati ulipofika alisema hapana, akaruhusu wengine waendeshe nchi.
sasa huyu zwazwa ukweli ulijidhili machoni pake lakini akakaza shingo.
Libya ni fundisho kwa madikteta wote.
 
mkuu unamaanisha hiki cha sasa ni halisi?
kaka corona virus hii sio mara ya kwanza kutokea, hii ya sasa imeitwa covid-19, lkn iliwah ibuka ikaitwa 229E,NL63, HKU1 na nyngne nyingi nafikiri zaidi ya nane hivi so zilishakuwako hapo kabla sema wengi umeijua hii ya kizazi chetu,sasa sasa kusema kuwa halisi au sio halisi hilo ni swala la kisayansi na si swala la kimtazamo kisiasa au ushabiki, ndio maana kwa maoni yangu hio ya gadafi ni conspiracy tu maana ht ye mwenyew kaongea tu bila kuofa proof yeyote
 
hilo nakubali na ni hali ya kawaida ya kibinadamu.
Hata ungekuwa na msosi tu wa kawaida, lazima ungesema hivi nikiunga na nyanya chungu itakuwaje, nk.
Lakini hapa tunaongelea INTENTIONAL gain of function.
Lengo ni kukuua wewe na mimi hadi dunia ibakie na wanadamu 500,000,000 kutoka 7,000,000,000.
Nilisema una innocent trust (kama walivyo wengi) kwa sababu reaction ya kwanza utasema, HAKUNA KICHAA ANAWEZA KUFANYA HIVYO.
kwenye hao laki 5 Faucci yumo ? Ndugu zake Je...

Alafu wakuue wewe nani watakeyemtumia kumyonya na kuwafanyia kazi zao na kuwa soko la their junks....

Kichaa wa hivyo yupo ila tunawaita magaidi, na motive yao labda wanaua infidels na kwa kufanya kwao hivyo ni kupata neema mbinguni..., Unless unataka kuniambia Faucci nae ni gaidi na amekuwa brain washed nitakuelewa....
 
wala hao hawahusiki katika hili. Wahusika wa hapa ni wengine kabisa. Unaweza kuangalia hii video - ni fupi tu wala haili bando lako.
Inameandaliwa na WEF (world economic forum) - ambayo mkubwa wake ni klaus shwab - moja ya sentensi kubwa inayoonekana humo ni kuwa popilation imekuwa ni tatizo dunia; na kufikia 2030 haitakuwa tatizo tena. The rest utayapata humo.

conspiracies hazijawahi kuwa na mchango wowote kwenye kutatua changamoto duniani
Ingekua hi hotuba kaitoa baada ya corona halafu ndio akafa then ningekubaliana na wewe but the guys kitoa wakati hata hatuji kuna kitu kinakuja kinaitwa covid 19 na pia tumeona jinsi chanjo inavyopigiwa kampeni za UHAKIKA, bado hapa ninampa credit bwana Gadaf, he predicted and his predictions came to the obvious, RIP mwana wa AFRICA
 
EXACTLY MKUU. THAT IS THE POINT!
 
Acha kuota

Reasoning ,democracy and law ,ndivo vitu vilipelekea gadafi kuzimwa ,nahata Tundu Antipas lisu ilimkuta hiyo alivoamua ,kuhoji Uhuru wamawazo uongo wamwendazake,uvunjifu washeria and nk

Tofauti yalisu aligongwa nchini kwake ,gadafi alivamiwa na wenye macho angafu
 
kama angesoma, alitakiwa afanyeje mkuu?
aruhusu watu kua huru kufanya Mambo yao kwa uhakika ,unatulipia Mali tukihoji unatoa wapi hela unatupoteza ,tukikushindwa sisi wapo wakutusaidia dunia kijiji
 
Dunia imejaa uwongo!
Eti wengine wanasema Gadaffi hakuwa dikteta!
Eti wengine wanasema hakuhusika kabisa katika mpango wa kulipua ndege ya Pan AM flight 103 (Lockerbie Bombing) mnamo mwaka 1988 kule Lockerbie, Scotland, UK!
Eti hakuhusika kabisa ku-engineer mpango huo ulioteketeza roho za watu wapatao 270 wasiokuwa na hatia! Aisee, dunia imejaa uongo.

c.c: Teleskopu
Watu wanaangalia upande mmoja tu wa shilingi. Wanasahau Ghaddafi pia alikua na mabaya yake katika kipindi cha utawala wake
 
Ingekua hi hotuba kaitoa baada ya corona halafu ndio akafa then ningekubaliana na wewe but the guys kitoa wakati hata hatuji kuna kitu kinakuja kinaitwa covid 19 na pia tumeona jinsi chanjo inavyopigiwa kampeni za UHAKIKA, bado hapa ninampa credit bwana Gadaf, he predicted and his predictions came to the obvious, RIP mwana wa AFRICA
hakuna mahali alipotaja corona, yeye kaongelea viruses na tayari kuna magonjwa hatari yanayosababishwa na viruses km polio ambayo yalishawahi tokea na yakatokomezwa kwa vaccines so alikua anaongea vitu vilivyookea tayari, lkn ht corona sio ugonjwa mpya, huu mlipuko wa sasa umeitwa covid-19, milipuko mingine ya corona ilishawah tokea huko nyuma ikaitwa majina mbalimbali km 229E, SARS COVID-2, corona virus aligunduliwa tangu miaka ya 60 na kabla ya covid-19 kuna homa nyingine za corona km 8 hivi zilishaikumba dunia hapo kabla, so hakuna alichopredict ilikuwa ni conspiracy tu na alikuwa ktk political mode akiwalenga mahasimu wake
 
EXACTLY MKUU. THAT IS THE POINT!
hakuna alichopredict mkuu corona ipo tangu miaka ya 60 na inajulikana huwa inalipuka km hivi, ni km mtu aongelee ebola leo ikitokea 2040 vijana wataona km conspiracy ila tunajua ebola huwa inalipuka, inaweza chuna ht miaka 29 ila ikaibuka, so ht corona ipo kabla ht ya hio hotuba ya gadafi maana corona iligunduliwa miaka ya 60, lkn spanish flue ilipiga mwanzoni mwa karne ya 20 ikatikisa sana dunia sasa ktk kpnd hcho kulikua na nan anauza vaccines? polio tangu miaka ya 1800's je nani alikua anatengeneza vaccines kipindi hicho? mkuu hebu jaribu kutetea hio hoja ya gadafi basi maana ina matundu mengi
 
point ya Gadafi sio kwamba korona itatokea.
Alichosema ni kuwa makampuni na nchi kubwa wanatumia magonjwa kutengeneza chanjo kwa manufaa yao na sio kwa ajili ya afya za wanadamu. Kwa hiyo, wanafikia hata kutengeneza virusi. Kwa hiyo akasema, jaribuni kutoa chanjo free of charge muone kama virusi vipya vitaibuka tena.
 
Back
Top Bottom