Wakati wa muhula wake wa kwanza Paul Makonda na wengine walipigwa marufuku kuingia Marekani.Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
nakataa,Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Nigeria kaingilia kwa sababu hilo jambo lina uhusiano na yanayoendelea Israel. Baada ya kelele kuwa nyingi sana kutoka upande wa watu maarufu wa social media waliomsapoti kwenye uchaguzi wakisema Marekani inatakiwa iache kuisaidia Israel kwa sababu utawala wa Netanyahau unafanya Genocide kwa Wapalestina na kuiingiza US kwenye vita zisizo na maslahi ndipo likaibuka suala la Wakristo Nigeria kuuwawa kwamba kwa nini hao watu hawazungumzii hilo pia kwa ukubwa wake kama wanavyofanya kwa Wapalestina.nakataa,
juzi tu kaongea kuhusu Nigeria, wakaanza kujamba jamba huko
We have a thing to offerBahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Tanzania kwa sasa sio mojawapo ya mataifa yenye umuhimu kabisa White House ndio maana ni mwaka mmoja sasa haina hata balozi kamili wa Marekani.Wakati wa muhula wake wa kwanza Paul Makonda na wengine walipigwa marufuku kuingia Marekani.
Anaweza asijali kwa ujumla kuhusu Afrika lakini kuna vitu au mambo anayoweza kufanya.
Nini cha kumpa Trump ageuze shingo?We have a thing to offer
Sawa tu ila acha Watanzania tupaze sauti zetu dunia isikie.Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Asitukatishe tamaa, watanzania tuvae viatu tusonge mbele.Wakati wa muhula wake wa kwanza Paul Makonda na wengine walipigwa marufuku kuingia Marekani.
Anaweza asijali kwa ujumla kuhusu Afrika lakini kuna vitu au mambo anayoweza kufanya.
Achana nae mkuu, lets push this agenda.siyo kweli, hakuna kiongozi wa USA in modern history aliyesaidia kutatua katatizo ya Afrika kama D.Trump, kamaliza vita drc, sasa hivi yuko sudani tayari anamaliza vita na mateso ya watu wa sudani, nigeria jihadists boko haram wamepewa ultimatum kama nigeria ikishindwa protect Christians USA will have to do it …
View: https://x.com/StateDept/status/1984684381441520001
View: https://x.com/US_SrAdvisorAF/status/1982065623430488154
terror in sudan …
View attachment 3498138
Watanzania tusiwe na muda wa kubishana na mtu. Tunaowaona hawatuelewa tupige kimya tusonge mbele. Hii ngoma kwa Trump itafika.nakataa,
juzi tu kaongea kuhusu Nigeria, wakaanza kujamba jamba huko
Trump hajamaliza vita DRC lakini pia kuingilia kwake DRC ni kwa sababu ya rare earth metals ambapo kwa sasa hivi mnufaika mkubwa wa hayo madini adimu huko DRC ni China.siyo kweli, hakuna kiongozi wa USA in modern history aliyesaidia kutatua katatizo ya Afrika kama D.Trump, kamaliza vita drc, sasa hivi yuko sudani tayari anamaliza vita na mateso ya watu wa sudani, nigeria jihadists boko haram wamepewa ultimatum kama nigeria ikishindwa protect Christians USA will have to do it …
View: https://x.com/StateDept/status/1984684381441520001
View: https://x.com/US_SrAdvisorAF/status/1982065623430488154
terror in sudan …
View attachment 3498138
Tukijaribu, the worst case scenario ni America kutochukua hatua na the best case scenario ni America kuchukua hatua.Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Umoja wa Ulaya(EU) na nchi moja moja za Ulaya ndio zinaweza kuisadia Tanzania kwa sasa, watu waelekeze nguvu zao huko, japo sio vibaya wakijaribu na US pia.Watanzania tusiwe na muda wa kubishana na mtu. Tunaowaona hawatuelewa tupige kimya tusonge mbele. Hii ngoma kwa Trump itafika.
Kwahiyo tukimbilie wapi kwa hao waarabu magaidi ,wafiraji wa vitoto vidogo wenye ustaarabu wa mavazi halafu wamejaa ushetani, si unaona gaidi mwenzao huku alivyo ua watoto wa wenzie kama anaua nzi.HIvi ni lini waafrika tutaacha kukimbilia kwa wamarekani, waingereza na EU kila tunapofikwa na matatizo barani afrika? Kwa nini tusikimbilie kwa african union, EAC au hata UN ambako kote nchi zetu ni wanachama? tutaacha lini kuwategemea wamarekani na european kututatulia matatizo yetu?