Muandikie Senator Jeanne Shaheen wa Marekani utawala wa Tanzania ubanwe na Marekani

Sema jitihada za hao mara nyingi huishia kwenye kauli ya "tunalaani vikali" which is so disgusting to me

Bunge la Ulaya lilitoa tamko kuhusu kesi ya Lissu lakini hakuna chochote kilichofanyika.

Kauli ile haikuwaogopesha wala haikuwateteresha watawala ndio maana wakatufikisha kwenye hatua mbaya zaidi ya massacre.

Nilipenda kuona hatua kali zikichukuliwa dhidi ya watawala ikiwemo kuwafungulia kesi ICC.

Mtu ameua watu 2,000 unampa zuio la kutokanyaga Marekani kama adhabu na baadhi ya sanction ban, kwangu naiona iko too soft.
Kubalansi Geopolitics kwenye ulimwengu ambao kuna mafahali wakubwa wawili wenye mitazamo tofauti ya utawala ni kazi ngumu sana. Kwa nchi kama Tanzania west wasingetaka kuipoteza kuipeleka mikononi mwa China kikamilifu kabisa.
 
Nini cha kumpa Trump ageuze shingo?
Tanzania ni nchi ya 9 kama sijakosea kuwa na reserve kubwa na Rare earth metals.

Tanzanian ina mgodi mkubwa wenye deposit nyingi nje ya China.
 
Kwahiyo tukimbilie wapi kwa hao waarabu magaidi ,wafiraji wa vitoto vidogo wenye ustaarabu wa mavazi halafu wamejaa ushetani, si unaona gaidi mwenzao huku alivyo ua watoto wa wenzie kama anaua nzi.
Ukipunguza ghadhabu zako za udini na kusoma comment yangu utaona nimesema ni wapi pa kukumbilia. Simtetei Samia na uongozi wake kwa mauaji waliyofanya lakini nakushangaa kuwa unashirikisha dini yake lakini hamkuingiza ukristo pale Mkapa alipopeleka jeshi kuua zanzibar mwaka 2000 na pia magufuli alipopeleka tena jeshi zanzibar 2020. Mkapa kakiri mwenyewe kwenye kitabu chake kuwa alipeleka jeshi zanzibar mwaka 2000 na Magufuli alitimiza ahadi yake aliyoitoa yeye na Polepole kuwa watawaonyesha wale watakaoinga maokeo zaznaibar, kwa kupeleka jeshi zanzibar kuua wazanzibari. Hapakuwepo hata mmoja kati yenu nyie wakristo aliyelaani mauaji yale na wala hakuna hata mmoja alieshirikisha ukristo na mauaji yale. Acheni udini! Mauaji ya watanzania yanafanywa na wana CCM na sio waislamu!!!!
 
Ndio maana safari hii kmkm wamelup8za kisasi cha zama za mkapa si ndio? Sasa tutaenda kwa mwendo wa visasi tu ,maana hiki pia ni kisasi cha hakiba hiki.
 
siyo kweli, hakuna kiongozi wa USA in modern history aliyesaidia kutatua matatizo ya Afrika kama D.Trump, kamaliza vita drc, sasa hivi yuko sudani tayari anamaliza vita na mateso ya watu wa sudani, nigeria jihadists boko haram wamepewa ultimatum kama nigeria ikishindwa protect Christians USA will have to do it …

View: https://x.com/StateDept/status/1984684381441520001

View: https://x.com/US_SrAdvisorAF/status/1982065623430488154

terror in sudan …
View attachment 3498138

DRC vita vimeisha!?
 
Tanzania ni nchi ya 9 kama sijakosea kuwa na reserve kubwa na Rare earth metals.

Tanzanian ina mgodi mkubwa wenye deposit nyingi nje ya China.
Haiko hata kwenye Top 20.
 
View attachment 3498130

Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa Tanzania na Marekani ni lazima uangaliwe upya.

View attachment 3498135

Hiyo ni lugha ya kidiplomasia zaidi, lakini hapo maana yake viongozi wa Tanzania wanaweza kuwekewa vikwazo wasikanyage Marekani na mali zao zilizopo Marekani zikazuiwa. Inawezekana pia vikwazo zaidi vikawekwa na misaada inayowawezesha kufanya uhalifu wao ikazuiwa.

Hili ni jambo la muhimu, hata kama ni kwa kuongeza uelewa tu kuhusu mauaji yaliyotokea Tanzania.

Nawaomba Watanzania, hususan Watanzania-Wamarekani na Wakazi wa Kudumu wa Marekani wenye asili ya Tanzania, wamuandikie Senator Shaheen kumshukuru kwa kulivalia njuga hili na kumpa data zaidi.

Tunaweza pia kuwandikia ma Seneta wengine wa US Foreign Relations Committee HAPA Home | United States Senate Committee on Foreign Relations

On X see @SenatorShaheen

Contact her

One of the "BEST" contributions from this source in this Jamii Forums.
 
Tanzania ni nchi ya 9 kama sijakosea kuwa na reserve kubwa na Rare earth metals.

Tanzanian ina mgodi mkubwa wenye deposit nyingi nje ya China.
Vyanzo vya taarifa yako ni vipi, unavyo au ni majigambo ya kawaida tuliyo nayo waTanzania?

Hizi 'rare earth elements', tunazizungumzia tu kijumla jumla bila hata ya kujuwa ni vitu gani hasa! Hizo tulizo nazo sisi ni 'elements' gani hasa; na zipo wapi hapa nchini na kwa kiasi gani?

Mbona nyingi za 'rare earths' zimetapakaa kila nchi duniani; ila hazipo kwenye mkusanyiko wa kutosha kuwa migodi ya kibiashara?
 
View attachment 3498130

Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa Tanzania na Marekani ni lazima uangaliwe upya.

View attachment 3498135

Hiyo ni lugha ya kidiplomasia zaidi, lakini hapo maana yake viongozi wa Tanzania wanaweza kuwekewa vikwazo wasikanyage Marekani na mali zao zilizopo Marekani zikazuiwa. Inawezekana pia vikwazo zaidi vikawekwa na misaada inayowawezesha kufanya uhalifu wao ikazuiwa.

Hili ni jambo la muhimu, hata kama ni kwa kuongeza uelewa tu kuhusu mauaji yaliyotokea Tanzania.

Nawaomba Watanzania, hususan Watanzania-Wamarekani na Wakazi wa Kudumu wa Marekani wenye asili ya Tanzania, wamuandikie Senator Shaheen kumshukuru kwa kulivalia njuga hili na kumpa data zaidi.

Tunaweza pia kuwandikia ma Seneta wengine wa US Foreign Relations Committee HAPA Home | United States Senate Committee on Foreign Relations

On X see @SenatorShaheen

Contact her

Ikuli ni sehemu takatafu siyo pango la makahaba na wahuni samia must go
 
Vyanzo vya taarifa yako ni vipi, unavyo au ni majigambo ya kawaida tuliyo nayo waTanzania?

Hizi 'rare earth elements', tunazizungumzia tu kijumla jumla bila hata ya kujuwa ni vitu gani hasa! Hizo tulizo nazo sisi ni 'elements' gani hasa; na zipo wapi hapa nchini na kwa kiasi gani?

Mbona nyingi za 'rare earths' zimetapakaa kila nchi duniani; ila hazipo kwenye mkusanyiko wa kutosha kuwa migodi ya kibiashara?
Yes jaribu kufanya research..
 
View attachment 3498130

Senator Jeanne Shaheen wa Marekani (New Hampshire, D) ana nia ya kupeleka hoja kwenye bunge la Senate la Marekani akisema kuwa chama tawala cha Tanzania CCM kimehatarisha usalama wa raia wa Tanzania na watalii na kuiba kura, na hivyo baada ya wizi huu wa kura, na mauaji hayo, uhusiano wa Tanzania na Marekani ni lazima uangaliwe upya.

View attachment 3498135

Hiyo ni lugha ya kidiplomasia zaidi, lakini hapo maana yake viongozi wa Tanzania wanaweza kuwekewa vikwazo wasikanyage Marekani na mali zao zilizopo Marekani zikazuiwa. Inawezekana pia vikwazo zaidi vikawekwa na misaada inayowawezesha kufanya uhalifu wao ikazuiwa.

Hili ni jambo la muhimu, hata kama ni kwa kuongeza uelewa tu kuhusu mauaji yaliyotokea Tanzania.

Nawaomba Watanzania, hususan Watanzania-Wamarekani na Wakazi wa Kudumu wa Marekani wenye asili ya Tanzania, wamuandikie Senator Shaheen kumshukuru kwa kulivalia njuga hili na kumpa data zaidi.

Tunaweza pia kuwandikia ma Seneta wengine wa US Foreign Relations Committee HAPA Home | United States Senate Committee on Foreign Relations

On X see @SenatorShaheen

Contact her

Aisee
 
Wakati wa muhula wake wa kwanza Paul Makonda na wengine walipigwa marufuku kuingia Marekani.

Anaweza asijali kwa ujumla kuhusu Afrika lakini kuna vitu au mambo anayoweza kufanya.
Juzi katishia kuwabamiza 'Boko Haram', bila shaka baada ya kuhimizwa na washirika wake wanaotetea dini yao kwa niaba ya wenzao wanaosulubiwa huko Nigeria.
Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Tatizo letu linaanzia hapa, kwenye utegemezi wa wengine, kufanyiwa; wakati sisi tukiwa tumezubaa tuu!

Hakuna taifa lolote litakalokuja kubadili hali zetu kwa lolote lile bila ya sisi wenyewe kusimama na kufanya mabadiliko.
Kuungwa mkono katika juhudi tunazofanya wenyewe ni tofauti na kutegemea tufanyiwe kazi zetu wenyewe

WaTanzania tume lemaa sana kwa kudekeza hali hii, na akina Samia wanautumia vizuri sana ulemavu wetu huu wa kukosa moyo wa kujifanyia mambo wenyewe.
 
Tatizo letu linaanzia hapa, kwenye utegemezi wa wengine, kufanyiwa; wakati sisi tukiwa tumezubaa tuu!

Hakuna taifa lolote litakalokuja kubadili hali zetu kwa lolote lile bila ya sisi wenyewe kusimama na kufanya mabadiliko.
Kuungwa mkono katika juhudi tunazofanya wenyewe ni tofauti na kutegemea tufanyiwe kazi zetu wenyewe

WaTanzania tume lemaa sana kwa kudekeza hali hii, na akina Samia wanautumia vizuri sana ulemavu wetu huu wa kukosa moyo wa kujifanyia mambo wewenyewe.
Kwa sasa ni vyema zaidi tuangalie njia zote mbadala na kila msaada unaowezakana kuindoa CCM mamlakani kwanza, vinginevyo tutaangamia kwa maelfu au wote tuwe machwa au tuufyate na tuingie uvunguni tuwe kimya mpaka siku itakaposambaratika yenyewe na pia tutaendelea kuwa taifa masikini.
 
ndiyo! wamebakia jihadist wanaua Christians kwa kuwaotea …
Haya yameanza hapa taratibu; kwa utekaji wa mapadre na kujaribu kuwaua wengine; na akina Gwajima. Ndani ya miaka mitano ijayo kwa hali inavyokwenda tutakuwa kwenye hatua nyingine mbaya zaidi. kama Samia bado yupo kwenye madaraka anayolazimisha kuwa nayo.

Tutavurugana sana.
 
Kwa sasa ni vyema zaidi tuangalie njia zote mbadala na kila msaada unaowezakana kuindoa CCM mamlakani kwanza, vinginevyo tutaangamia kwa maelfu au wote tuwe machwa au tuufyate na tuingie uvunguni tuwe kimya mpaka siku itakaposambaratika yenyewe na pia tutaendelea kuwa taifa masikini.
Njia zote mbadala ni za kumwondoa Samia madarakani kwa juhudi zetu wenyewe kwanza.

Kama kuna watakaopenda kuunga mkono juhudi zetu hizo wanakaribishwa, lakini wasiwe na masharti ya kutufungia mikononi mwao
 
Trump hajamaliza vita DRC lakini pia kuingilia kwake DRC ni kwa sababu ya rare earth metals ambapo kwa sasa hivi mnufaika mkubwa wa hayo madini adimu huko DRC ni China.
Sudan ni vita kamili inapiganwa, kuna serikali mbili na kuna genocide inayoendelea. Pia hiyo habari imefika Fox News, CNN, NBC, ABC na Podcasters wakubwa ambao Trump anawaangalia. Story ya Tanzania imeishia Al Jazeera na BBC ambazo zote zinachukiwa na Trump. Pia Sudan kuna mafuta na gold kuliko Tanzania.
Hata sisi tuna Uranium nyingi sana na rare minerals kibao.
 
Back
Top Bottom