Mkaa wa mawe
JF-Expert Member
- Jun 28, 2020
- 5,055
- 7,496
Waafrika tuliishi kimakundi, kikabila na kwa uchache kabla ya wakoloni kupiga mistari na kuturundika sehemu tofauti kwa wingi. Kufikia hatua ya muungano wa wananchi kama taifa moja lenye wazo moja ni swala la muda na maandamano yamethibitisha hilo.HIvi ni lini waafrika tutaacha kukimbilia kwa wamarekani, waingereza na EU kila tunapofikwa na matatizo barani afrika? Kwa nini tusikimbilie kwa african union, EAC au hata UN ambako kote nchi zetu ni wanachama? tutaacha lini kuwategemea wamarekani na european kututatulia matatizo yetu?
Muda utafika karibu taifa zima, watu millioni 50+ tutatoka na kwenda kufanya mabadiliko wenyewe. Mfano ni Japan na Germany ambapo karibu wananchi wote wa mataifa hayo walikuwa convinced na watu wawili tu kufanya massacres.
Ni swala la muda.