Muandikie Senator Jeanne Shaheen wa Marekani utawala wa Tanzania ubanwe na Marekani

Kubalansi Geopolitics kwenye ulimwengu ambao kuna mafahali wakubwa wawili wenye mitazamo tofauti ya utawala ni kazi ngumu sana. Kwa nchi kama Tanzania west wasingetaka kuipoteza kuipeleka mikononi mwa China kikamilifu kabisa.
 
Nini cha kumpa Trump ageuze shingo?
Tanzania ni nchi ya 9 kama sijakosea kuwa na reserve kubwa na Rare earth metals.

Tanzanian ina mgodi mkubwa wenye deposit nyingi nje ya China.
 
Kwahiyo tukimbilie wapi kwa hao waarabu magaidi ,wafiraji wa vitoto vidogo wenye ustaarabu wa mavazi halafu wamejaa ushetani, si unaona gaidi mwenzao huku alivyo ua watoto wa wenzie kama anaua nzi.
Ukipunguza ghadhabu zako za udini na kusoma comment yangu utaona nimesema ni wapi pa kukumbilia. Simtetei Samia na uongozi wake kwa mauaji waliyofanya lakini nakushangaa kuwa unashirikisha dini yake lakini hamkuingiza ukristo pale Mkapa alipopeleka jeshi kuua zanzibar mwaka 2000 na pia magufuli alipopeleka tena jeshi zanzibar 2020. Mkapa kakiri mwenyewe kwenye kitabu chake kuwa alipeleka jeshi zanzibar mwaka 2000 na Magufuli alitimiza ahadi yake aliyoitoa yeye na Polepole kuwa watawaonyesha wale watakaoinga maokeo zaznaibar, kwa kupeleka jeshi zanzibar kuua wazanzibari. Hapakuwepo hata mmoja kati yenu nyie wakristo aliyelaani mauaji yale na wala hakuna hata mmoja alieshirikisha ukristo na mauaji yale. Acheni udini! Mauaji ya watanzania yanafanywa na wana CCM na sio waislamu!!!!
 
Ndio maana safari hii kmkm wamelup8za kisasi cha zama za mkapa si ndio? Sasa tutaenda kwa mwendo wa visasi tu ,maana hiki pia ni kisasi cha hakiba hiki.
 
DRC vita vimeisha!?
 
Tanzania ni nchi ya 9 kama sijakosea kuwa na reserve kubwa na Rare earth metals.

Tanzanian ina mgodi mkubwa wenye deposit nyingi nje ya China.
Haiko hata kwenye Top 20.
 
One of the "BEST" contributions from this source in this Jamii Forums.
 
Tanzania ni nchi ya 9 kama sijakosea kuwa na reserve kubwa na Rare earth metals.

Tanzanian ina mgodi mkubwa wenye deposit nyingi nje ya China.
Vyanzo vya taarifa yako ni vipi, unavyo au ni majigambo ya kawaida tuliyo nayo waTanzania?

Hizi 'rare earth elements', tunazizungumzia tu kijumla jumla bila hata ya kujuwa ni vitu gani hasa! Hizo tulizo nazo sisi ni 'elements' gani hasa; na zipo wapi hapa nchini na kwa kiasi gani?

Mbona nyingi za 'rare earths' zimetapakaa kila nchi duniani; ila hazipo kwenye mkusanyiko wa kutosha kuwa migodi ya kibiashara?
 
Ikuli ni sehemu takatafu siyo pango la makahaba na wahuni samia must go
 
Yes jaribu kufanya research..
 
Aisee
 
Wakati wa muhula wake wa kwanza Paul Makonda na wengine walipigwa marufuku kuingia Marekani.

Anaweza asijali kwa ujumla kuhusu Afrika lakini kuna vitu au mambo anayoweza kufanya.
Juzi katishia kuwabamiza 'Boko Haram', bila shaka baada ya kuhimizwa na washirika wake wanaotetea dini yao kwa niaba ya wenzao wanaosulubiwa huko Nigeria.
Bahati mbaya Trump hajali sana Africa hasa mambo ya demokrasia na utawala bora.
Tatizo letu linaanzia hapa, kwenye utegemezi wa wengine, kufanyiwa; wakati sisi tukiwa tumezubaa tuu!

Hakuna taifa lolote litakalokuja kubadili hali zetu kwa lolote lile bila ya sisi wenyewe kusimama na kufanya mabadiliko.
Kuungwa mkono katika juhudi tunazofanya wenyewe ni tofauti na kutegemea tufanyiwe kazi zetu wenyewe

WaTanzania tume lemaa sana kwa kudekeza hali hii, na akina Samia wanautumia vizuri sana ulemavu wetu huu wa kukosa moyo wa kujifanyia mambo wenyewe.
 
Kwa sasa ni vyema zaidi tuangalie njia zote mbadala na kila msaada unaowezakana kuindoa CCM mamlakani kwanza, vinginevyo tutaangamia kwa maelfu au wote tuwe machwa au tuufyate na tuingie uvunguni tuwe kimya mpaka siku itakaposambaratika yenyewe na pia tutaendelea kuwa taifa masikini.
 
ndiyo! wamebakia jihadist wanaua Christians kwa kuwaotea …
Haya yameanza hapa taratibu; kwa utekaji wa mapadre na kujaribu kuwaua wengine; na akina Gwajima. Ndani ya miaka mitano ijayo kwa hali inavyokwenda tutakuwa kwenye hatua nyingine mbaya zaidi. kama Samia bado yupo kwenye madaraka anayolazimisha kuwa nayo.

Tutavurugana sana.
 
Njia zote mbadala ni za kumwondoa Samia madarakani kwa juhudi zetu wenyewe kwanza.

Kama kuna watakaopenda kuunga mkono juhudi zetu hizo wanakaribishwa, lakini wasiwe na masharti ya kutufungia mikononi mwao
 
Hata sisi tuna Uranium nyingi sana na rare minerals kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…