Muandikie Senator Jeanne Shaheen wa Marekani utawala wa Tanzania ubanwe na Marekani

Waafrika tuliishi kimakundi, kikabila na kwa uchache kabla ya wakoloni kupiga mistari na kuturundika sehemu tofauti kwa wingi. Kufikia hatua ya muungano wa wananchi kama taifa moja lenye wazo moja ni swala la muda na maandamano yamethibitisha hilo.

Muda utafika karibu taifa zima, watu millioni 50+ tutatoka na kwenda kufanya mabadiliko wenyewe. Mfano ni Japan na Germany ambapo karibu wananchi wote wa mataifa hayo walikuwa convinced na watu wawili tu kufanya massacres.

Ni swala la muda.
 
Yaan kweli huu Uchaguzi ni kituko ukiona hadi hawa Matapeli wenzetu wa AU wamesema uchaguzi haukuwa wa haki....basi ujue kweli huo uchaguzi ulikuwa ni miyeyusho.
 
Yaan kweli huu Uchaguzi ni kituko ukiona hadi hawa Matapeli wenzetu wa AU wamesema uchaguzi haukuwa wa haki....basi ujue kweli huo uchaguzi ulikuwa ni miyeyusho.
Samia amewapa madikteta wote msemo.

Yani kila dikteta asiyetaka demokrasia atasema angalau yeye hajaua watu kama Samia aliyepata asilimia 98 ya kura katika uchaguzi.
 
This is a false dichotomy logical fallacy.

Anzisha uzi wako wa kukimbilia AU, EAC na UN watu watakufuatilia.

Kwani tukifuatilia US huko kwingine ndiyo tutakuwa hatuwezi?

Why the false dichotomy?

Mimi Mtanzania-Mmarekani ninayeishi Marekani nimeleta habafi za Marekani. Wewe weka zako unazoona zinafaa.
 
Samia amewapa madikteta wote msemo.

Yani kila dikteta asiyetaka demokrasia atasema angalau yeye hajaua watu kama Samia aliyepata asilimia 98 ya kura katika uchaguzi.
Upo sahihi kabisa mkuu huyu mama kajua kuidhalilisha Tanzania, saivi tumekuwa nchi ya hovyo mno huko duniani.
 
Kazi nzuri hiyo Kiranga
 
Hatutaacha ni sawa la kudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…