Kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Watanzania ni watu wa majungu na kutunga story.Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Acha uzushi pambaf weBench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Mashabiki oya oya kama nyie mnaosubiliaga timu ifanye vibaya ndio muibuke kuponda ni wa ovyo sana,,ulishaambiwa pacome aliigua ghafla siku 2 kabla ya mchezo na ata akufanya mazoezi ya mwisho na wenzake kwaiyo kocha angemwanzisha ivyo ivyo? Nini maana ya uweledi kwenye kazi yoyote Ile? Acheni ujuaji na kuibua visababu vya kijinga kijinga Kila mtu na porojo zake kwakuwa tu yanga akufuzu,,je angefuzu ungesema kwanini pacome akuanzishwa?Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
YALE YALE YA KUWASINGIZIA WATU KAMA YA LISU NA ABDUL BILA USHAHIDIBench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Naona umejibu kwa Makasiriko hadi unagonga meza.Mashabiki oya oya kama nyie mnaosubiliaga timu ifanye vibaya ndio muibuke kuponda ni wa ovyo sana,,ulishaambiwa pacome aliigua ghafla siku 2 kabla ya mchezo na ata akufanya mazoezi ya mwisho na wenzake kwaiyo kocha angemwanzisha ivyo ivyo? Nini maana ya uweledi kwenye kazi yoyote Ile? Acheni ujuaji na kuibua visababu vya kijinga kijinga Kila mtu na porojo zake kwakuwa tu yanga akufuzu,,je angefuzu ungesema kwanini pacome akuanzishwa?
MwenyeweAcha uzushi pambaf we
Pacome alikuwa anaumwa wiki nzima, jana aliomba acheze angalau dakika chacheBench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.
Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.
Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR