Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

Muarabu katoa hela ndefu sana kwa Yanga

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.

Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.

Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
 
Kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Endeleeni kujifariji...
Alipoingia akafanya nini...
# Mwakakundi#
 
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.

Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.

Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Watanzania ni watu wa majungu na kutunga story.
Mtanzania anaweza kutunga story akiwa chumbani kwake utadhani ana ushahidi na alikuwepo kumbe ni fikra zake tu mwenyewe.
 
Tumeanza!
Tuache hizo! Tuendelee kushikamana tugange yajao
YANGA Africa OYEE!
 
Umekula??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.

Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.

Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Acha uzushi pambaf we
 
Mashabiki oya oya kama nyie mnaosubiliaga timu ifanye vibaya ndio muibuke kuponda ni wa ovyo sana,,ulishaambiwa pacome aliigua ghafla siku 2 kabla ya mchezo na ata akufanya mazoezi ya mwisho na wenzake kwaiyo kocha angemwanzisha ivyo ivyo? Nini maana ya uweledi kwenye kazi yoyote Ile? Acheni ujuaji na kuibua visababu vya kijinga kijinga Kila mtu na porojo zake kwakuwa tu yanga akufuzu,,je angefuzu ungesema kwanini pacome akuanzishwa?
 
Acheni maneno yenu tukubali tumeshindwa tujipange wakati mwengine
 
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.

Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.

Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
YALE YALE YA KUWASINGIZIA WATU KAMA YA LISU NA ABDUL BILA USHAHIDI
 
Mashabiki oya oya kama nyie mnaosubiliaga timu ifanye vibaya ndio muibuke kuponda ni wa ovyo sana,,ulishaambiwa pacome aliigua ghafla siku 2 kabla ya mchezo na ata akufanya mazoezi ya mwisho na wenzake kwaiyo kocha angemwanzisha ivyo ivyo? Nini maana ya uweledi kwenye kazi yoyote Ile? Acheni ujuaji na kuibua visababu vya kijinga kijinga Kila mtu na porojo zake kwakuwa tu yanga akufuzu,,je angefuzu ungesema kwanini pacome akuanzishwa?
Naona umejibu kwa Makasiriko hadi unagonga meza.
 
Bench la ufundi, Hersi na baadhi ya wachezaji. Na ndio maana Pacome alianzishiwa benchi.

Tukubali tu kuwa haya ni maisha na kuna hela ukionyeshwa ni ngumu kuikataa hata kama wewe ni paroko.

Muarabu akitaka jambo lake anaweza kukupa hata behewa la SGR
Pacome alikuwa anaumwa wiki nzima, jana aliomba acheze angalau dakika chache
 
Back
Top Bottom