Muarabu wa Tanzania anaiponda sana Marekani, akipewa viza ya Afghanistan hataki kwenda

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.

Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.

Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka huko akawasaidie vita, hawakuandamana.

Nchini Poland ni marufuku kuingia Muarabu Muislamu, wameweka hivyo. Waziri mkuu alipokuwa anaongea akasema nchi kama Poland haiwezi kuwa na milipuko kwa sababu wamewapiga stop Waarabu Waislamu kuingia kwao.

Ila kwa Marekani, yeyote aingie na hata wakichukua raia wa Green Card nafasi kubwa wanapewa Waarabu.
 
Sio afghanistan sema saud arabia

Kuna jamaa mtaani alienda kubonda lile jiwe kule saud arabia

Alipokuwa anakwenda alikuwa na picha tofauti ila alikuta mazingira tofauti

Anakwambia bora aishi singida au dodoma kuliko kule
 
Mwarabu akienda US akatupa Kanzu na Baraghashia anatiki Caucasian Box, na hawezi kuexperience ubaguzi wa Rangi, lakini sisi Waafrika weusi ukienda your just another nigger.

Ni kweli US kuna HAKI mbali mbali tofauti na Saudi Arabia Iraq au Afghanistan.

Ila sisi tiujenge Afrika yetu heshima zitakuja tu.
 
Waarabu marekani waende tu ila wakatulie waache harakati zao za kigaidi maana Kule wataisha.

Police wa marekani hawana cha kumbembeleza huwa ni kauli Moja tu " show me your hand do not reach for anything"
Hii kauli ikitoka halafu ukawa kama unajikuna kwenye pumbu utasikia

" He got a gun in his pant"
Halafu utasikia "shot fired suspect is down we need paramedics"

Baada ya hapo gaidi la kiislamu ni kuwahi mabikra 70 kuzimu.
 
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.

Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.

Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka huko akawasaidie vita, hawakuandamana.

Nchini Poland ni marufuku kuingia Muarabu Muislamu, wameweka hivyo. Waziri mkuu alipokuwa anaongea akasema nchi kama Poland haiwezi kuwa na milipuko kwa sababu wamewapiga stop Waarabu Waislamu kuingia kwao.

Ila kwa Marekani, yeyote aingie na hata wakichukua raia wa Green Card nafasi kubwa wanapewa Waarabu.
Bruh bruh tu. Kama hujui moja ya watu wagumu kuzitoka Nchi zao basi ni Waarabu
Yaani leo hii Msaudi
Myemen, Qatar,Abu dhab,Dubai, Kuwait, Bahrain, Libya (kabla haijaharibiwa), aende Maryland na Texas kufanya nini? Wakati Hao wazungu ndio wamewapa kazi kuanzia za kupika mpaka uhandisi
Yaani mpaka ma Air Hostess wa Fly Emirates, Ettihad wanatoka huko huko
 
Ng'ombe

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Waarabu marekani waende tu ila wakatulie waache harakati zao za kigaidi maana Kule wataisha.

Police wa marekani hawana cha kumbembeleza huwa ni kauli Moja tu " show me your hand do not reaching for anything"
Hii kauli ikitoka halafu ukawa kama unajikuna kwenye pumbu utasikia

" He got a gun in his pant"
Halafu utasikia "shot fired suspect is down we need paramedics"

Baada ya hapo gaidi la kiislamu ni kuwahi mabikra 70 kuzimu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.

Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.

Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka huko akawasaidie vita, hawakuandamana.

Nchini Poland ni marufuku kuingia Muarabu Muislamu, wameweka hivyo. Waziri mkuu alipokuwa anaongea akasema nchi kama Poland haiwezi kuwa na milipuko kwa sababu wamewapiga stop Waarabu Waislamu kuingia kwao.

Ila kwa Marekani, yeyote aingie na hata wakichukua raia wa Green Card nafasi kubwa wanapewa Waarabu.
Ardhi hii huyo Marekani kaikuta na ataicha.
 
Ww jamaa bila shaka waarabu na waisilam walisha kufukua tope na ndio maana kila siku ni kuanzisha nyuzi za kipumbavu tu badala ya kutafuta hela.
Ulivyo mpumbavu unadhani matamanio yako ndo matamanio ya kila mtu,ya kuwa ww kama unatamani kwenda kuishi Marekani basi na wengine wana ndoto za hivyo hivyo?
 
Duuh! Kumbe waarabu/waislam ndio michezo yenu hii ya kufukuana tope?!
Laanatullah
 
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.

Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.

Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka huko akawasaidie vita, hawakuandamana.

Nchini Poland ni marufuku kuingia Muarabu Muislamu, wameweka hivyo. Waziri mkuu alipokuwa anaongea akasema nchi kama Poland haiwezi kuwa na milipuko kwa sababu wamewapiga stop Waarabu Waislamu kuingia kwao.

Ila kwa Marekani, yeyote aingie na hata wakichukua raia wa Green Card nafasi kubwa wanapewa Waarabu.
Mbona umekuwa mjinga leo? Hujui njama za wakoloni wako hao wa magharibi? Huo uhuru bandia ndio umeona kitu cha maana? Huoni waafrika wenzako wanavyo uwawa na polisi huko kila siku? Umesau Trump alivyo kuita wewe unatoka nchi za ass hole country?
Kaa na umbumbumbu
 
Back
Top Bottom