Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Pamoja na yoooote, ila Marekani ni nchi fulani yenye uhuru sana akifuatiwa na Uingereza.
Hebu fikiria, kwao unafanya maandamano ya aina yoyote ile. Wanaruhusu bila tatizo na wakati nchi nyingine wanakataa.
Ujerumani walisema mtu yeyote atakayeandamana kuhusu Palestina, tunamchukua na kumpeleka huko akawasaidie vita, hawakuandamana.
Nchini Poland ni marufuku kuingia Muarabu Muislamu, wameweka hivyo. Waziri mkuu alipokuwa anaongea akasema nchi kama Poland haiwezi kuwa na milipuko kwa sababu wamewapiga stop Waarabu Waislamu kuingia kwao.
Ila kwa Marekani, yeyote aingie na hata wakichukua raia wa Green Card nafasi kubwa wanapewa Waarabu.