Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain


Nyote mnaabudu huyo muarabu halafu unapata jerui ya kusema wengine ni fake...
 
Kwa hio Shia na Sufi sio waislam [emoji1]

Wewe ndio utawahukumu au Mungu
Mm sisemi MUNGU Bali nasema ALLAH lete ushahidi kua ALLAH sehemu moja tu kajiita MUNGU mm natoa facts siropoki

Mashia sio waislamu kabisaaa mana wanamkana kipenzi chetu mtume wetu MUHAMMAD SWALLA LLAHU ALAYHI WASSALAM

Masufi kwa mujibu wa imamu shafii ni wajinga hawajielewi wao ni mwendo wa kuzusha tu mambo

Imam shafii anasema " lau mtu ataingia kwenye usufi asubuhi haitomfikia mchana ila atakua ni mjinga" maneno haya yanapatikana katika kitabu cha manaqibu shafii cha imamu lbayhaqiy
 
πŸ˜„Kwanza wewe dini huifahamu nimeisha kukamata vipi unamini hadithi wakati Qur'an inakataaza kuamini hadithi kuliko Qur'an

Bukhari mwenyewe anakiri kwamba hakuweza kuandika hadith yoyote kuelezea surah 28 kamili au sura za Qur'an.

Katika 25% ya surah 114 ndani ya Qur’an na hadithi zilizobakia hazielezi aya yoyote ya Qur'ani hata kidogo wala hazikutoka direct kwa Mtume Muhammad.

Kwa hio hata Mwenyezi Mungu aliposema Qur'an imekamilika tusiamini chochote zaidi ya Qur'an na Mtume wake, hizo hadithi ambazo sizakweli tuziamini tu.

Hivi Bukhari alionana na Mtume πŸ˜„ Sikujua hili yani wewe sawa sawa na wakristo tu, wanamini Paulo alivyo ota.

Bukhari yeye nani anacho ongea kiwe πŸ’―

Haya leta wapi Ibadhi anapinga kila hadithi za Bukhari au Sahihi Muslim? Usiwe unaongea kama mlevi na kutunga uwongo ziko hadithi nyingi za Bukhari na Sahihi Muslim ibadhi wanazitumia wacha uwongo.

Unasema ibadhi ni itikadi potovu wewe nani mpa useme vile, je wewe ni Mtume wa Mungu au Mungu mpaa useme ibadhi ni itikadi potofu, haya leta dalili zako wapi itikadi yetu potofu kwa dalili usilete uwongo.

Unaniuliza Mungu yuko wapi Mungu alikuwepo kabla ya kila kitu na huwezi kumpa size Mungu,sababu Qur'an inakuambia huwezi mfananisha na kitu chochote kile

We lazima utakuwa ni Wahabi tu nyie na mayahudi si ndio type moja mnakufuru kila kitu, wewe umenishambulia kwanza mimi ni Shia au Sufi badaye nilipo kuwambia mimi Ibadhi pia unanishambulia sa wewe ni Muislam gani ambaye unaona waislam wote ni wrong wewe tu ndio uko sawa.

Haya wewe tujibu Mungu yuko wapi?

Kwa hio Mungu anasize kutokana na akili zako sio πŸ˜„
 
Yaani mtu aache mambo mazuri ahamie kufuga majini na ndoto ngono na mabinti 72 huko ahera?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜„ nimegundua wewe si Muislam, kwanza Shia ni katika Ahly Al baiti wanafata mafunzo ya Mtume na wanampenda bint yake Fatma zahra na wajuku zake kuliko wewe unavyo dhani.

Wewe ni Wahabi wewe uko mbali kabisa. na Uislam.

πŸ˜„ hao Maimamu wenyewe kila mmoja anamkosoa mwenzake je hu ndio uislam, Si ndio nakuambia acha story za kubweka na hujui lolote wewe tutarudi pale pale hadithi Sahihi iwe Ameongea direct Mtume imethibitiwa kweli hio ndio tutaikubali.

Ndio sababu Qur'an imesema tu refer Qur'an tu au hadithi πŸ’― sahihi kutoka kwa Mtume Muhammad. Qur'an haikutuambia tufate hadithi za Bukhari au Sahihi Muslim.

bwege mmoja kasome dini huna elimu wewe bado sana mpa uifahamu dini.
 
Nini maana ya sufi?
 
Imam shafii anasema " lau mtu ataingia kwenye usufi asubuhi haitomfikia mchana ila atakua ni mjinga" maneno haya yanapatikana katika kitabu cha manaqibu shafii cha imamu lbayhaqiy
Hata Imam Ahmad Bin Hanbal alimkataza mwanae asikae na watu wanaoitwa Sufi ila baadaye akamuhimiza mwanae akae nao kwani ni watu wachamungu sana. Ushahid kitabu cha Tanwir Al Qulub ukurasa wa 405.

Imam Shafii naye vilevile hakuitupa wala kuipa mgongo Usufi. Angalia kitabu cha Kashf al Khafa cha Imam Ajlun.

Pia Imam Suyutwi amemnukuu vile vile Imam Shafii na Usufi. Na ukitaka ushahidi mwengine soma kwenye kitabu cha Imam Suyuti "Houjatul Mudhakkiriina. Hili kalizungumza kwa mapana na kawa challenge wanaokataa Usufi na dhikr Saadia.

Imamul Aadhwam nu-uman Ibn Thabit, Imam Abou Hanifa hakupingana na Usufi bali aliufanya kabisa. Ushahidi ni katika kitabu cha Ad-Durr Al Mukhtar, juzuu ya 1 ukurasa wa 43.

Halikadhalika Imam Malik.


Swali kwako ndugu; nini maana ya Usufi (Sufi)?
 
Nyote mnaabudu huyo muarabu halafu unapata jerui ya kusema wengine ni fake...
Si kila mwenye kusema mimi Muislam ni Muislam, nyie wenyewe wakristo mna tofatuana kuna orthodox na Catholic na mengineo, hujayaona umeona ya waislamu tu πŸ˜„
 
Waislamu sahihi vitabu wanavofuata vya hadithi vinajulikana sahihi bukhari na sahihi Muslim nyie mwavikataa
Hii kauli nani kakuambia akhy?
Umeshawahi kumsikia Imam Nasaai? Au ibn Majah? Au Imam Attirmidhii?
 
Huyo Wahabi yeye kazizake kufurahisha wasio kuwa si Waislamu kila Mwisalamu ni kafiri wakati wao ndio wa mwisho katika sector πŸ˜„
 
Si kila mwenye kusema mimi Muislam ni Muislam, nyie wenyewe wakristo mna tofatuana kuna orthodox na Catholic na mengineo, hujayaona umeona ya waislamu tu πŸ˜„

Wewe unajuaje kuwa unawazidi wenzako kwenye kuabudu huyo muarabu.....
 
Wewe unajuaje kuwa unawazidi wenzako kwenye kuabudu huyo muarabu.....
πŸ˜„ Kwani Abu Lahab alikuwa nani? Wacha tu kuwa mwarabu alikuwa katika .masayyid Al Quresh na ndugu ya baba yake Mtume (Uncle) mbona anaenda motoni.

We kwanza nenda kaisome bibilia mpaa uifahamu ndio utaelewa Israel kakusudiwa Nabii Yakobo sio hilo taifa lilitengenezwa na Muingereza pamoja na mazionist wakutoka Ukraine
 
Iran's Army Chief:

[emoji3502]Iran will support Yemen's people until the end.
 
Alikuwepo Alqaeda, IS,ISS wote walifutiliwa mbali na kuwa historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…