MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
😄 kuna Waislam wengine ni fake, kama huyo kaja kakanusha hadith nilio weka, na akasema nani kaipokea nilipo mpa jibu akasema ya mtandaoni 😄.
Yeye kaniomba hadithi nimempa kasema ya mitandaoni kwani kwenye mitandaoni hakuna Qur'an au hadithi sahihi? huyo unaye muita mvaa makobaz labda ni mtu wenu au kuna wale waislam jina.
Huoni hata America anawapenda waislamu wanao jidai pro west anawaita moderate Muslim 😄
Mimi nimemuomba kitabu alicho jidai yeye ana kisema ndio zina hadithi sahihi 💯 kakimbia sababu hakuna kitabu cha namna hio.
Wewe pia si unaquote hadithi kwa hio wewe ni Muislam.
Tunafahamu wazi ziko hadithi fake na za kweli, lakini unazichunguza kwa kutumia akili sio kuna kukanusha au kuikubali bila point.
Nimemuliza huyo rafiki yako wapi Mtume aliwasemacwa Yemen hawana akili? Sijawahi ona zaidi ya hadithi akiwasifia wa Yemen.
Huyo na wewe hata muwe na mawazo tofauti na mimi, si siku zote wewe uko sawa au mimi niko sawa aliye kuwa sawa ni Mungu tu.
Haya unalingine?
YEMENI PIGA KONDOO HAO
Nyote mnaabudu huyo muarabu halafu unapata jerui ya kusema wengine ni fake...